Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 101 to 110 of 439.

  • 6 May 2021 in National Assembly: Kwa majina naitwa Captain Ruweida Mohamed, Mbunge wa Kike was Kaunti ya Lamu. Kwa sababu tunaongezwa milioni 400 hizo pia ni pesa. Kwa niaba ya watu wangu wa Lamu, Rais wetu mpendwa Uhuru Muigai Kenyatta na Gideon Moi, napiga kura ya ndio. view
  • 23 Feb 2021 in National Assembly: Asante Naibu Spika wa Mda kwa kunipatia hii nafasi. Ni muhimu sana tuwe na hizi maktaba. Zitatusaidia kuwa na uzoefu au desturi ya kusoma na kutuepusha na mambo mengi ya ushetani. Wakati unaoutumia katika maktaba unaweza kukupunguzia mambo mengi, zaidi kwa wale vijana tuko nao. Lakini zikitengenezwa, ziwe maktaba na sio jina; ziwe maktaba za kiwango cha hali ya juu. Maktaba hizo ziwe na mambo mengi. Hata kompyuta zinafaa kuwa hapo ndani. Hizi maktaba zikiwa, zitatusaidia sana sisi watu wa Lamu maanake katika youth walioharibika zaidi ni kwetu Lamu. Vijana wameingia kwenye mihadarati. Ukienda ukiona watoto wetu, wanasinzia. Kwa hivyo, ... view

  • 11 Feb 2021 in National Assembly: Hon. Speaker, I rise to ask the Cabinet Secretary for the National Treasury and Planning the following Question even though the Question ought to be directed to the Cabinet Secretary responsible for transport: (i) When will the fishermen in Lamu County, who lost their source of livelihood as a result of the development and construction of Lamu Port-South Sudan-Ethiopia- Transport (LAPSSET) Port Project, be compensated? (ii) What is the status of the 1,000 LAPSSET Educational Scholarships from the Government meant for Lamu residents? (iii) What is the actual size of land allocated to the LAPSSET Port Project? view

  • 11 Feb 2021 in National Assembly: It is in Lamu. view

  • 11 Feb 2021 in National Assembly: The people affected are Lamu fishermen. view

  • 11 Feb 2021 in National Assembly: I meant in Lamu. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus