11 Feb 2021 in National Assembly:
I meant in Lamu.
view
3 Dec 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I rise to ask Question No. 385 of 2020 to the Cabinet Secretary for Agriculture, Livestock and Fisheries. What urgent steps is the Ministry taking to address the menace and food security threat caused by the invasion of locusts in Basuba, Hindi and Hongwe wards of Lamu County? Thank you.
view
1 Dec 2020 in National Assembly:
Hon. Speaker, I rise to ask Question No.351/2020 to the Cabinet Secretary for Interior and Coordiantaion of the National Government: (i) Could the Cabinet Secretary explain the measures taken by the Ministry to address the plight of the Bajun people of the Coastal region who have endured years of neglect, disservice and historical injustice in their own motherland? (ii) What specific affirmative and other measures is the Government pursuing to assist Internally Displaced Persons from among the Bajun community in securing their livelihood?
view
1 Dec 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker.
view
19 Nov 2020 in National Assembly:
Mimi ni Mbajuni. Sisi ni wale waliotengwa na bado tu wachache. Tunawahimiza watu wazaane ili tuwe wengi. Nimeamka kuunga mkono ombi la Mhe. Baya. Ni kweli hao wapendwa wanadhalilishwa hapa Kenya. Kuna mambo mengi hawapati kule Tanzania na huku Kenya pia hawapati. Si wao peke yao. Kuna tatizo zaidi kule kwenye mipaka. Mipaka ilipowekwa Lamu, iligawanya jamii. Kuna Bajuni wa Somalia na Bajuni wa Kenya. Bajuni wa Somalia wakakaa kwa maisha. Kuna babu zetu walioa kule na wa kule wakaoa Kenya. Kuna watoto walizaliwa kule na wengine wa kule wakazaliwa huku. Ni ndogo lakini imegawanywa. Kulipotokea shida Somalia na watu ...
view
19 Nov 2020 in National Assembly:
Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi nichangie Hoja ya Hotuba ya Rais tunayempenda. Katika mambo yaliyonifurahisha, la kwanza ni kuhusu kupambana na ufisadi. Lau litafuatilizwa kisawa sawa, Kenya yetu itafika mbali. Nampongeza Rais kwa sababu ameleta matumaini. Awali, hungeweza kuona Waziri akienda kuhojiwa mbele ya Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC), lakini sasa hivi, tunaona Mawaziri kadhaa wakienda mbele ya tume hiyo kuhojiwa. Kwa mfano, sasa hivi, mitandaoni tunaona Waziri, Prof. Magoha akienda kwa EACC pamoja na wengine waliomtangulia kwenda. Kwa hivyo, tunampongeza Rais kwa kuleta haya matumaini. Kupitia kwa Utaratibu wa Utendaji No.2 ya ...

Itabidi mujifundishe, Mheshimiwa.
view
19 Nov 2020 in National Assembly:
Itabidi mujifundishe, Mheshimiwa.
view
19 Nov 2020 in National Assembly:
Kiswahili kitukuzwe kwani ni lugha ya Taifa. Leo mchana, itabidi watu wazungumze Kiswahili. Kwa hivyo, tuanze kujifundisha. Hata sisi kuna mambo mengine ambayo hutushinda na sisi hujitahidi kujua mambo hayo yana maana gani.
view