19 Nov 2020 in National Assembly:
Kiswahili kitukuzwe kwani ni lugha ya Taifa. Leo mchana, itabidi watu wazungumze Kiswahili. Kwa hivyo, tuanze kujifundisha. Hata sisi kuna mambo mengine ambayo hutushinda na sisi hujitahidi kujua mambo hayo yana maana gani.
view
19 Nov 2020 in National Assembly:
Ahsante. Pia nilipendezwa na alivyozungumzia ugonjwa wa akili. Alisema kuwa kutakuwa na hospitali za kisasa za kitaifa za kutibu ugonjwa huu. Kule kwetu Lamu, watu wengi akili zao zimeharibiwa na dawa za kulevya. Utapata vijana wadogo wamefungiwa kwa nyumba. Maskini! Ni kwa sababu akili zao zimepotea. Ikiwa kutakuwa na hospitali hizi, zitasaidia sana. Rais pia alisema kuwe na mustakabali wa kitaifa kwa watoto wetu. Watoto wetu ndio matarajio yetu. Huo ni mustakabali mzuri ikiwa utatengenezwa kutokea kwa shule za msingi. Watoto hawa watakua kwa njia nzuri na kwa maadili. Hapa Kenya, shida si sheria na pesa, shida ni roho zetu. ...

wabaya. Kama wewe huibi na huna pesa za kupatia watu kwa matanga na kufanya mambo wanayotaka wananchi, utaonekana mbaya kwa sababu wananchi wamezoea kuwa Wabunge wote wana pesa. Kusema ukweli, labda ikiwa Mbunge ana biashara zingine, mshahara wake hautoshi kufanya haya mambo. Kwa hivyo, huu mustakabali wa Kitaifa ni muhimu. Naona muda unaisha. Rais alizungumzia elimu. Tunataka elimu iende mpaka mashinani ili, kwa mfano, kile mwananfunzi wa Nairobi atakachopata ndicho mwanafunzi wa Lamu atakachopata vile vile. Pia, alizungumzia usalama ambao ni muhimu haswa kwa sisi watu wa mipakani . Tunahitaji usalama. Tunataka ukuta umalizwe kujengwa, mipaka ifunguliwe na mikakakti iwekwe ...

17 Nov 2020 in National Assembly:
Asante Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii nichangia Ripoti hii ya Maeneo Maalum ya Kiuchumi. Mwanzo ningependa kuipongeza Kamati, Mwenyekiti akiwa Mhe. Kamket, na pia kuiunga mkono. Mashiriki ya umma hapa Kenya ni muhimu sana katika maendeleo endelevu. Hii ni kwa sababu unapata kujua wanaoishi mashinani au wataalamu. Utapata kuwasikiliza na mambo yao yawekwe kwenye ripoti. Kama hakuna ushiriki wa umma ama public participation basi si sawa. Ni muhimu hawa wataalamu wakiandika hizi ripoti waweze kuyajua yale mazingira. Wasiwe watu wa kukaa kwenye chumba cha bodi na kujiandikia mambo ambayo hawaelewi. Kwa mfano, huko Lamu wakitaka kujua ...
view
17 Nov 2020 in National Assembly:
tena. Hii imeshatokea mara mingi. Wanaenda na maboti huko na kisha wakifika wanasema hawarudi hadi wachukuliwe na helicopta, kwa sababu bahari imekuwa mbaya sana. Pia Kamati ijue kwamba wakati mwingine wanaangalia maeneo maalum ya kiuchumi na tunapata ripoti mbili tofauti. Kwa mfano, Lamu kuna maeneo maalum ya kiuchumi mawili. Moja imefanywa na Lamu Port-South Sudan-Ethiopia Transport (LAPSSET) Corridor na nyingine na kaunti. Sasa tunachaganyikiwa kwa sababu hawa wanafanya na wengine wanafanya. Tunaomba kuwe na mpangilio, sio mtu arauke atoke na moja na mwingine na nyingine. Ahsante naunga mkono.
view
3 Nov 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I beg to ask the Cabinet Secretary for Transport, Infrastructure, Housing, Urban Development and Public works the following Question: (i) When does the Ministry intend to have the construction of the Mbwajumwali Seawall in Lamu County, which has stalled despite having been funded, resume? (ii) Why has the contractor abandoned the site without meeting his contractual obligations, and could the Ministry consider engaging a new contractor? (iii) Could the Cabinet Secretary provide a list of all projects and the funds allocated for the construction of seawalls in Lamu County, including the Mbwajumwali Seawall project, indicating funds ...
view
8 Oct 2020 in National Assembly:
Hon. Speaker, I am not a retired pilot.
view
8 Oct 2020 in National Assembly:
Hon. Speaker, I am a pilot by profession. I am not retired.
view