Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 141 to 150 of 439.

  • 6 Oct 2020 in National Assembly: Ahsante Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii nichangie Hoja hii. Moja kwa moja, nataka kuipongeza Kamati kwa Ripoti yao nzuri. Lakini Kamati hii imeangazia sana upande wa Magharibi. Kwa hakika, sio upande wa Magharibi peke yake ambako miwa inapatikana. Miwa inaweza kupatikana kwa wingi upande wa Tana River na Lamu hata kushinda upande wa Magharibi. Kunaweza kutoka miwa nyingi eneo la mto Tana. Kilomita chache kutoka Mto Tana kunaweza toka miwa nzuri zaidi kushinda upande wa Magharibi. Utafiti uliofanywa unaonyesha kwamba miwa ya upande wa Magharibi inavunwa baada ya mwaka mmoja na nusu. Lau ingefanyika upande wa Tana ... view
  • 6 Oct 2020 in National Assembly: huku. Kwa mfano, pesa zikiwekwa Nairobi zaidi, watu watatoka Lamu waje wakae Nairobi kutafuta kazi. view
  • 6 Oct 2020 in National Assembly: Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda. view
  • 29 Sep 2020 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii nami nichangie. Mwanzo, ningependa, moja kwa moja, niunge mkono Kamati. Tunapouliza maswali ama tunapoleta petitions, huwa kuna sababu za kutufanya tufanye hivyo. Baada ya kuleta maombi haya, ikiwa hakuna linalofanyika, basi huwa zile sababu zetu hazijapata suluhisho. Kwa hivyo, ni muhimu tunapouliza maswali, yanapojibiwa, yawe yenye kufuatiliwa ili shida zilizoko mashinani ziweze kutatuliwa ama huduma kwa mwananchi iweze kupatikana. Pia, ingawaje wakati mwingine shughuli hiyo hufanyika, huwa inachukua muda kufanyika. Wakati mwingine inapofanyika, inakuwa imepitwa na wakati. Kwa mfano, tunapouliza Swali, tuseme msimu wa matikiti maji, kabla swali hilo lishughulikiwe, ... view
  • 23 Jun 2020 in National Assembly: Asante, Mhe. Spika. Alhamisi wiki iliyopita, niliuliza Waziri wa Nishati Swali. Uliamurisha Kamati ya Nishati ilijibu Swali langu leo Jumanne kwa sababu ya dharura. Kwa muda wa wiki mbili sasa, watu wangu wa Kisiwa cha Pate hawana stima. Swali langu halijajibiwa na sijapata mawasiliano yoyote. Mhe. Spika, naomba… view
  • 23 Jun 2020 in National Assembly: I have heard. view
  • 18 Jun 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker for giving me an opportunity to ask the Cabinet Secretary for Energy the following Question: (i) What steps has the Ministry taken to restore power in Pate Island of Lamu County, view
  • 18 Jun 2020 in National Assembly: which has been without power since 16th June 2020? (ii) When is the Ministry replacing the three non-functional power generators that serve view
  • 18 Jun 2020 in National Assembly: the Island and put in place a long-term solution to the power supply in the Island? (iii) Could the Ministry consider compensating households in Pate Island for the loss of view
  • 18 Jun 2020 in National Assembly: electrical gadgets and equipment, medical drugs and foodstuffs as a result of lack view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus