Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 151 to 160 of 439.

  • 18 Jun 2020 in National Assembly: of electricity? Thank you, Hon. Speaker. view
  • 16 Jun 2020 in National Assembly: Thank you Hon. Speaker for giving me this opportunity to ask Question No. 060/2020 to the Cabinet for Water, Sanitation and Irrigation: (i) Could the Cabinet Secretary provide the status of the construction of Baragoni Dam in Hindi Ward, Lamu County? (ii) How much money has been utilised in the construction of the dam? (iii) When will the construction of the project be completed? Thank you, Hon. Speaker. view
  • 9 Jun 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. Hon. Deputy Speaker, view
  • 9 Jun 2020 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, there are Members who want to speak on that. view
  • 9 Jun 2020 in National Assembly: On a point of order. view
  • 9 Jun 2020 in National Assembly: Naibu Spika, nina Hoja ya nidhamu. Mheshimiwa amesema kuwa suala hili limejadiliwa hapa lakini Kamati imetaja tu Tana River na Garissa. Nimeisoma Ripoti yao na Lamu haikutajwa popote. Sijui Lamu mwataka twende Somalia; kwani Lamu si Kenya? Katika Ripoti yenu mumeweka only Garissa na Tana River, na Lamu kuna mafuriko kila pahali. Hii ni shida kubwa munatuletea. Hamuhesabu Lamu, sijui munatupeleka wapi. view
  • 4 Jun 2020 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nimesimama kuunga mkono Mswada huu na kuipongeza Kamati. Ni vizuri kuwa na sheria za utangazaji au matangazo ya barabarani. Wakati mwingine Kamati ikikaa, ningeomba wafikirie kama haya mazuri waliyopanga saa hii ili wapange katika hizi mabodi za barabarani za kutangaza kusiwe na wale akinamama wanaotumika saa zingine kuonyesha uchi. Saa zingine yale matangazo yanafanya wanawake wanaonekana wakiwa wamevaa nguo fupi sana. Kamati ifuatilie suala hili. view
  • 4 Jun 2020 in National Assembly: Pia, katika upande wa Lamu Mashariki, hatuna sehemu nyingi za kutangaza kwa sababu barabara ya kutoka ni moja ambayo ni ya Kisiwa cha Pate. Kuna pahali pazuri sana kwa kipandio. Pengine wengine hawataelewa kipandio ni nini. Kipandio ni bridge ambayo saa hii inatumiwa na binadamu kwa kutembea. Ikiongezwa kidogo na Serikali, itapita magari. Basi pale kunaweza kutumika kuwekwa mabodi mengi ya kutangazia. view
  • 4 Jun 2020 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. view
  • 4 May 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I am not retired and I am still a captain because this is my profession. Hii nyingine ni temporary. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus