Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 161 to 170 of 439.

  • 4 May 2020 in National Assembly: I am not tired. view
  • 4 May 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker for giving me this opportunity to ask Question No.111/2021 to the Cabinet Secretary for Transport, Infrastructure, Housing and Urban Development. (i) Could the Cabinet Secretary provide details on the process followed by the Government with respect to the tender and award of the contract for the The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 4 May 2020 in National Assembly: construction of the Lamu Port - South Sudan - Ethiopia - Transport (LAPSSET) Corridor project in Lamu County, including the international and national procurement procedures followed in the entire process? (ii) Could the Cabinet Secretary provide a list of all firms and individuals who were prequalified or who tendered for LAPSSET Project? (iii) Could the Cabinet Secretary also provide the names of firms and individuals who have been direct beneficiaries of employment opportunities at the project, and in particular, a list of any tenders awarded to residents of Lamu County and employment benefits, if any, to local residents of the ... view
  • 12 Mar 2020 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ya kuchangia Mswada wa utunzaji na ulinzi wa wazee katika jamii. Wazee ni baraka. Naunga mkono kwa dhati huu Mswada. Nimeusoma na una mambo mazuri sana. Ni lazima tuwe na desturi ya kuheshimu wazee. Nchi zingine zinatushinda. Sisi hapa, tunapoenda katika mahoteli makubwa ndio utaona tabia ya kuheshimu wazee na watoto mwanzo kwa chakula, lakini kule nyumbani wengine hawana hiyo desturi. Ninawashukuru watu wa Lamu. Tunaheshimu sana wazee. Tunawashinda watu wa Kilifi. Kiliffi kuna mambo mengi yanayotokea juu ya wazee. Ningependa Kamati ijue kwamba Lamu kuna sehemu nyingi hazikufikiwa na ... view
  • 4 Mar 2020 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I am on a point of information. view
  • 4 Mar 2020 in National Assembly: Then give me time I tell you. view
  • 27 Feb 2020 in National Assembly: Asante, Bi Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuunga mkono na kupongeza Kamati kwa Ripoti yao nzuri. Kwa hakika, kahawa ni uti wa mgongo wa nchi yetu. Na Mwenyezi Mungu mwenyewe alipanga mambo kwa mipango yake. Kila upande wa Kenya kuna wale wana vitu tofauti na vyote vinachangia kwa uchumi wetu wa Kenya. Kwa hivyo, kuna umuhimu sana wa haya mambo yote yaliyowekwa kwenye hii Ripoti kufuatiliwa na wenzetu ili wakulima waweze kujimudu. Zile shida wako nazo, waziondoe. Zile kelele wanapiga na kulalamika siku zote ziishe. Ninaona pia Rais Uhuru Kenyatta tumpongeze katika hotuba yake. Alichangia sana katika mambo ya kahawa. ... view
  • 27 Feb 2020 in National Assembly: Hapa nimeona - nikinukuu Ripoti kidogo - kuna pahali wamesema kwamba ile miche inatolewa ni kidogo. Inafika kama 100,000 ilhali mahitaji yanafika milioni moja na nusu. Tunaomba wale wanaohusika wahakikishe wamekidhi mahitaji ya wale wakulima. Na sehemu zingine nazo, kila upande wakulima washughulikiwe, kama mfano upande wa ukuzaji pamba. Kuna ukulima wa pamba ambao pia unatusaidia. Mambo ya Blue Economy katika bahari pia yaangaliwe. Kila mtu akifanya bidii upande wake, itatusaidia na tutaweza kujitegemea na tupunguze mambo ya mikopo. Kwa hivyo, Bi. Naibu Spika wa Muda, ninaunga mkono na ninatarajia kutakuwa na mabadiliko. Asante. view
  • 26 Feb 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker for giving me this opportunity to ask the Cabinet Secretary (CS) for Health this Question: view
  • 26 Feb 2020 in National Assembly: (i) What is the status of collection, testing and distribution of blood and blood related products to all transfusing hospitals in the country? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus