Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 171 to 180 of 439.

  • 26 Feb 2020 in National Assembly: (ii) What is the quantity of blood reserve in the Government’s blood banks under the management of Kenya National Blood Transfusion Service (KNBTS) and is the quantity sufficient to serve casualties in case of occurrences of disasters and emergencies? view
  • 26 Feb 2020 in National Assembly: (iii) What challenges is the KNBTS facing with regard to continued support of the project by donor agencies? view
  • 26 Feb 2020 in National Assembly: (iv)What measures has the Ministry put in place to ensure sufficient funding of the Service? view
  • 26 Feb 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. view
  • 25 Feb 2020 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii nami nichangie. Mwanzo ningependa kupongeza Kamati kwa kazi nzuri iliyofanya. Wabunge waliotangulia wamezungumzia kwa hamasa kuhusu wakimbizi wa ndani kwa ndani waliofurushwa au kukimbizwa almaarufu kwa lugha ya kimombo kama IDPs. Ni vizuri wale waliofurushwa kutoka mahali walikokuwa wakikaa warejeshwe na haki zao zitimizwe. Sisi wengine tunasikitika tukiona haya. Tunasikitika kwa sababu ni kama Kenya hakujawahi kuwa na wengine kabla ya hawa. Sehemu zingine kukitokea mambo kama haya, hazionyeshwi na hazichukuliwi kwa uangalifu zaidi. Tukiangalia historia, waliofurushwa wa kwanza Kenya ni watu kutoka Lamu wakati wa “Shifta War”. Lamu ina ... view
  • 25 Feb 2020 in National Assembly: wakaishi vijiji vingine. Watu hao walikimbilia Kisiwa cha Pate, Lamu, Mkokoni, na Kiwayu. Walifika mwambao wa Pwani, Malindi na Ngomeni. Wabajuni wako sehemu hizo zote kwa sababu walifurushwa makwao. Hakuna mahali mtasikia wao wamepangiwa nini. Kile tunachosikia ni kuhusu waliofurushwa huku. Kule Lamu hakuna kinachozungumziwa. Nalileta hili nalo lijulikane kwamba kuna Wakenya wengine waliopata idhilali hizi na mambo yao yanafaa kuangaliwa. Kama ni kurejeshwa, pesa iliyoko ipangiwe pia wao. kulingana na Ripoti, pesa iliyotolewa ya kununua ardhi ijumuishe pia watu wa Lamu kwa kuwa wao pia ni Wakenya. Sharti wajenge mashule na miji yetu irudi. Mimi ni mmoja wao. Nyanya ... view
  • 20 Feb 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I would like to ask Question No.012/2020 to the Cabinet Secretary for Transport, Infrastructure, Housing and Urban Development: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 20 Feb 2020 in National Assembly: (i) What plans has the Ministry put in place to develop an airstrip on Pate Island in Lamu County to serve the over 20,000 residents in cases of emergencies as well as security agencies? (ii) What measures has the Ministry put in place to ensure that Manda Airport runway lights are installed to make it operational at night? view
  • 20 Feb 2020 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi ya kuchangia. Mimi naunga mkono hii bodi iweko. Watu labda watashangaa kwa nini nasimama hapa kuchangia mambo ya chai, lakini sisi ni wanyuaji chai Lamu, na wanaopanda ni Wakenya. Tunafaa kuwaunga wenzetu wapate kutengeneza chai nzuri. Sisi watu wa Lamu ndio tunaipika chai kushinda wao wanaoipanda. Na tunaipika vizuri. Kuna hoteli fulani Kenya inajulikana ukienda Lamu uinywe chai yake ni chai spesheli. Ukienda kama Mangroove Lamu uende Mwanaratha, msitoke Lamu bila kununua chai huko. Ni chai tamu. Chai spesheli. Ni chai ya kukumbukwa. Pia ningependa watakaotekeleza mambo haya wakumbuke pia kuna ... view
  • 20 Feb 2020 in National Assembly: Pia, kama nilivyotangulia kusema kwamba Lamu watu wanatujua kwa samaki, watu wakizungumzia chai pia sisi tuzungumzie samaki. Upande wetu wa Lamu tunaomba wajitokeze kwa zaidi, wanaohusika waje watusaidie manake watu kule ni watenda kazi, hakuna uvivu. Watu wanajitahidi. Wavuvi wamejitahidi wanawasomesha watoto wao kwa hizo hizo pesa za bahari, pesa za shida. Lakini kuna uvuvi wa kisasa. Serikali ije ipeane vifaa vya kisasa ili wavuvi wapate kwenda kwenye bahari kuu. Kwa saa wanang’ang’ana na bahari ya ndani. Tunaomba wavuvi wasaidiwe na vifaa kama vile vifaa vya GPS na vifaa vya kutafuta samaki, kwa lugha ya kimombo vikijulikana kama fish finders ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus