5 Dec 2019 in National Assembly:
Naomba Serikali ipeleke misaada mbali na chakula kama vile blanketi na mambo mengine. Yatasaidia sana. Kuna watu wameathirika na ikiwa hawasaidiwi, inaongeza umaskini. Wenyeji wanajitahidi. Wanafanya kazi mwaka mzima. Lakini ikifika wakati wa mafuriko, vitu vyao vyote vinaenda. Umaskini unazidi.
view
5 Dec 2019 in National Assembly:
Ni muhimu Serikali iongeze bidii isaidie na wasisahau Lamu kaunti ina wafugaji. Ahsante.
view
5 Dec 2019 in National Assembly:
The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
4 Dec 2019 in National Assembly:
I am the Vice Chairperson. Hon. Speaker, I beg to lay the following Paper on the Table of the House: The Report of the delegation of Members of the Select Committee on Regional Integration to the 12th Pan African Parliamentary Conference on the Women Rights held in South Africa on 14th October 2019 and 15th October 2019. Thank you. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
4 Dec 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I rise to ask Question No.521/2019. It is addressed to the Cabinet Secretary for Health: (i) What is the status of collecting, testing and distributing blood and blood related products to all transfusing hospitals in the country? (ii) What is the quantity of blood reserve in the Government’s blood banks as managed by the Kenya National Blood Transfusion Services (KNBTS) and is the quantity sufficient to serve casualties in case of occurrences of disasters and emergencies? (iii) What challenge is the Kenya National Blood Transfusion Services facing with regard to continued support of the project by ...
view
20 Nov 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker for giving me this opportunity to ask Question No.500 of 2019 to the Cabinet Secretary for Ministry of Transport, Infrastructure, Housing and Urban Development. (i) What plans has the ministry put in place to develop an airstrip on Pate Island in Lamu County to serve over 20,000 residents and tourists as well as security agencies in the area? (ii) What measure has the ministry put in place to ensure runway lights are installed at Manda Airport to make it operational at night?
view
19 Nov 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I rise to ask the Cabinet Secretary for Lands the following Question: Could the Cabinet Secretary provide a report on the subdivision exercise and survey carried out in January 2019, and reviewed on 20th August 2019, in Vumbe Area of Lamu East Constituency, Lamu County and the number of plots arrived after the exercise?
view
13 Nov 2019 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ya kuchangia huu Mswada. Mwanzo namshukuru Mhe. Kamket kwa kuleta huu Mswada. Mwenyezi Mungu atakubariki. Ningependa kuwaelezea Wabunge wenzangu kwamba huu Mswada ni muhimu kwa sababu kuna watu wengi wanateseka huko ndani ndani. Tusiwe sisi Wabunge ndiyo sababu ya wao kuteseka. Kama mwenzetu alivyosema, sisi wengine tumezaliwa katika haya maeneo ambayo yametengwa. Si kuchagua kwetu; ni kwa sababu ya mipango ya Mwenyezi Mungu. Leo nitazungumza kwa kihemko. Kwa wale hawaelewi Kiswahili, labda nitasema niko emotional kwa sababu nimetoka Lamu jana. Kwa bahati nzuri, tumetoka maeneo ya Kiangwi ambayo ipo ...
view
13 Nov 2019 in National Assembly:
iko sawa. Kuna sehemu ndani ya Lamu County ambazo ukienda zitakusikitisha. Elimu haipo. Kuna jamii ambazo mpaka sasa hazijapata mtu aliyehitimu na shahada ya digrii hata mmoja. Pia, hazina barabara na maji. Tukipewa hizo pesa, wale watakaozishughulikia wamakinike kwa kuwa watawajibika kwa Mwenyezi Mungu. Kwa mfano, kuna pesa ya Equalization Fund zilizopelekwa kwa mradi wa maji unaoitwa Kimangai-Kiunga. Mradi huo haupo. Pesa hizo zilipelekwa kwingine. Watu wa sehemu hizi ni fukara, sio maskini. Maskini ni afadhali. Wale ni fukara; hawana hata chakula ilihali pesa za mradi kama huo zinapotolewa zinapelekwa kwingine. Nilipiga kelele kwa wahusika na The electronic version of ...
view
13 Nov 2019 in National Assembly:
wakasema watapeleka mradi mwingine kule. Mradi huo wa Kimangai-Kiunga sasa haupo kwa watu maskini ambao hawawezi kujitetea. Tulipoenda Kiangwe, hata nguo za kuvaa watu hawana. Ilibidi nimwambie mhudumu mmoja wa ofisi yangu aivue T-Shirt yake amvalishe mtoto aliyekuwa na vazi la aibu lililo chanika. Matatizo yako. Hatutaki kuwa hivo siku zote. Tunataka siku moja, hili tusemalo kuwa sisi ni jamii iliyotengwa lisiwe. Tuinuliwe ili wengine kutoka county zingine waje waangalie makwetu. Hatupendi kujiita hivyo. Kwamba, siku zote tunalalamika tumetengwa. Hatupendi kuitwa hivyo; ni hali zimetuwia tu. Wanaofanya kazi Kiangwe hawatoki Lamu County peke yake. Kuna wafanyikazi kutoka
view