Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 71 to 80 of 439.

  • 30 Jun 2021 in National Assembly: Ahsante Mheshimiwa Spika kwa kunipa nafasi hii ya kusema katika hilo Ombi. Ombi hili ni muhimu na naliunga mkono. Kwa hakika, watu wengi wanapata shida pande zote za Kenya. Lamu sisi ndio tuna shida zaidi. Kuna hiyo view
  • 30 Jun 2021 in National Assembly: Ahsante Mheshimiwa Spika kwa kunipa nafasi hii ya kusema katika hilo Ombi. Ombi hili ni muhimu na naliunga mkono. Kwa hakika, watu wengi wanapata shida pande zote za Kenya. Lamu sisi ndio tuna shida zaidi. Kuna hiyo park ambayo iko hapo lakini haitusaidii bali hutuumiza. Afadhali sehemu zingine kama Maasai Mara angalau wanasaidika kwa upande mwingine. Sisi kwetu katika pesa ambazo zimetolewa za malipo, zaidi ya miaka kumi saa hii, zimetolewa milioni sita peke yake na kuna watu wengi wameathirika na wanyama. Kisha wanatuumiza zaidi. Sisi ni watu wa bahari. Wanyama karibu wote wa bahari waliwatoa kwenye orodha ya malipo. ... view
  • 30 Jun 2021 in National Assembly: ambayo iko hapo lakini haitusaidii bali hutuumiza. Afadhali sehemu zingine kama Maasai Mara angalau wanasaidika kwa upande mwingine. Sisi kwetu katika pesa ambazo zimetolewa za malipo, zaidi ya miaka kumi saa hii, zimetolewa milioni sita peke yake na kuna watu wengi wameathirika na wanyama. Kisha wanatuumiza zaidi. Sisi ni watu wa bahari. Wanyama karibu wote wa bahari waliwatoa kwenye orodha ya malipo. Ukienda ukifika baharini ukipigwa na mnyama anayeitwa yeda, haulipwi. Ukipatikana na papa, hulipwi. Na kule tuna wanyama msituni na wanyama baharini. Na saa zingine wanaenda baharini na wanapata hata mamba ndani ya bahari kwa sababu wako karibu na ... view
  • 30 Jun 2021 in National Assembly: Not on this one. Thank you. view
  • 30 Jun 2021 in National Assembly: Not on this one. Thank you. view
  • 30 Jun 2021 in National Assembly: I support the Committee. view
  • 30 Jun 2021 in National Assembly: I support the Committee. view
  • 29 Jun 2021 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi. Naunga mkono. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 29 Jun 2021 in National Assembly: Ni vizuri tuwe na wafanyakazi wa kaunti ambao wanastakabadhi zinazohitajika. Tunaona mambo mengi katika kaunti yanafanyika kiholelaholela saa zingine. Hayafanyiki vizuri. Tukipata yule ana hizo qualifications zote hapa, zikifuatwa kuanzia huo wosia na hao wengine wote na zichukuliwe hizi sheria zimeandikwa hapa, itasaidia sana. Utaona mara nyingine, kwa mfano, saa hii kuna kaunti ambazo zimepata pesa nyingi ambazo zinafaa zizitumie zizimalize na ni mkopo wa Serikali kutoka kwa World Bank. Lakini utaona, kwa sababu sijui ni wale walioko hawana zile view
  • 29 Jun 2021 in National Assembly: au ni uzembe, utaona zile kazi hazifanyiki vizuri. Saa zingine mtu anaweza kuwa na view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus