6 May 2021 in National Assembly:
Kwa mtazamo wangu, nikiwa kama Mkenya na kiongozi anayeishi katika hii nchi, haya yote yatahitaji fedha ili kuendelezwa. Kwa mfano, iwapo twapanga kuongeza maeneo bunge sabini, ni lazima kuwe na fedha zitakazoendesha maeneo bunge hayo. Vile vile, sote twajua na kufahamu namna uchumi wa nchi hii ulivyo. Mwisho wa haya yote, mimi na wengine tutalazimika kutoa ushuru wa ziada ilhali tunauelewa uchumi ambao tuko nao. Hakuna kiongozi atakayekataa mazuri yaliyoko katika marekebisho haya. Hofu yangu kubwa ninayotaka wakenya waifahamu ni utekelezaji wa haya mazuri tunayoyajadili yatakapopitishwa. Tunavyojua sasa ni kwamba nchi imekumbwa na madeni chungu nzima. Lazima hatua za ziada ...
view
6 May 2021 in National Assembly:
Hon. Sharif Athman Ali, MP for Lamu East. On my behalf and my people, I vote no.
view
18 Feb 2021 in National Assembly:
Ahsante, Mhe. Naibu Spika. Ningependa kutumia fursa hii kumpongeza Mhe. Kassim Tandaza kwa kuja na Mswada huu. Sote tunafahamu kwamba ukulima ndio uti wa mgongo katika maisha ya leo. Mumea huu, ambao Mhe. Kassim Tandaza ameutaja, ni mmea ambao unapatikana katika sehemu za Pwani, hususan katika maeneo ya Lamu na Kwale. Kabla sijazungumzia mumea huu, ningependa kuzungumzia swala nzima la ukulima na faida ya ukulima, hususan katika nchi hii na eneo la Pwani. Mbali na kuwa tunafahamu kwamba ukulima ndio muhimu sana katika uchumi wetu, tumeona wazi ya kwamba watu wanategemea ukulima katika mambo mengi. Kwa masikitiko makubwa, nikizungumzia eneo ...
view
18 Feb 2021 in National Assembly:
Kwa hivyo, Mhe. Naibu Spika, tunapojadili swala hili, ni vyema tufahamu na Serikali ijue ya kwamba Wapwani wanahitaji usaidizi katika kuendeleza ukulima. Kuwe kwamba tuko na ardhi za kutosha na mimea ya kutosha. Katika hali hii, tunaamini ya kwamba angalau tutapata misaada kama vile misaada mingine inavyotolewa katika sehemu nyingine katika nchi hii. Tukifanya hivyo, Pwani itakuwa na ukulima mwingi na wengi watajiingiza katika jambo hili ili waweze kusaidika na kusaidiwa kuliendeleza jambo hili. Ni vyema tufahamu kwamba katika hali ya uchumi wetu hivi sasa, ukulima ndio jambo ambalo tunahitaji kulipea kipaumbele. Ardhi tuko nazo na wanaohitaji kufanya ukulima tuko ...
view
18 Feb 2021 in National Assembly:
Ahsante, Mhe. Naibu Spika. Ningependa kutumia fursa hii kumpongeza Mhe. Kassim Tandaza kwa kuja na Mswada huu. Sote tunafahamu kwamba ukulima ndio uti wa mgongo katika maisha ya leo. Mmea huu, ambao Mhe. Kassim Tandaza ameutaja, ni mmea ambao unapatikana katika sehemu za Pwani, hususan katika maeneo ya Lamu na Kwale. Kabla sijazungumzia mmea huu, ningependa kuzungumzia swala nzima la ukulima na faida ya ukulima, hususan katika nchi hii na eneo la Pwani. Mbali na kuwa tunafahamu kwamba ukulima ndio muhimu sana katika uchumi wetu, tumeona wazi ya kwamba watu wanategemea ukulima katika mambo mengi. Kwa masikitiko makubwa, nikizungumzia eneo ...
view
18 Feb 2021 in National Assembly:
kuhakikisha ya kwamba wameweza kufanya ukulima wao ili kujiendeleza na kujimudu katika maisha ya leo. Kwa haya, ni wajibu wa Serikali kuhakikisha wakulima wa sehemu zote wamefaidika, hususan Wapwani, nikiamini pakubwa kwamba wakulima wa Pwani wameachwa nyuma kwa kutosaidiwa na Serikali katika swala nzima la ukulima. Ahsante.
view
15 Oct 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Deputy Speaker. Hon. Deputy Speaker, I wish to ask the Cabinet Secretary for Transport, Infrastructure, Housing, Urban Development and Public Works the following Question: (i) Could the Cabinet Secretary explain why there have been inordinate delays in the construction and upgrading to bitumen standards of Mtangawanda-Kizingitini, Basuba-Kiunga and Mkokoni-Kiunga roads in Lamu East Constituency? (ii) What measures have been put in place by the Ministry to ensure that the said road projects are undertaken and completed without any further delays considering that my constituency has no single kilometre of tarmac road? Thank you, Hon. Deputy Speaker.
view
1 Oct 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I wish to ask the following Question to the Cabinet Secretary for Interior and Coordination of National Government: (i) Could the Cabinet Secretary state when the Kenya-Somalia Border at Kiunga Border Point will be opened to enable trading among the residents of Lamu East Constituency, noting that Khat ( Miraa ) traders from neighbouring counties are operating at the Border Point? (ii) When will the residents of Lamu East be allowed to conduct business and trade activities along the Kiunga-Somalia Border so as to enhance co-operation and improve on their livelihoods?
view
22 Sep 2020 in National Assembly:
Hon. Speaker, I rise to ask the Cabinet Secretary for Transport, Infrastructure, Housing, Urban Development and Public Works the following Question:
view