9 Mar 2016 in National Assembly:
Ukweli ni kwamba hivi sasa katika nchi yetu, suala la stima linaonekana kuwa afadhali. Nikizungumzia eneo la Bunge langu la Lamu Mashariki, kwa mara ya kwanza tangu tupate The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view

Uhuru, wananchi wa sehemu hii sasa watafurahia kuwa na umeme. Huduma hiyo imepelekwa kule na Serikali ya Jubilee kupitia shirika la Rural Electrification Authority. Hivi karibuni, tutapeana huduma hii kwa wananchi na KP watachukua usukani. Hili ni jambo ambalo Serikali ya Jubilee imeweza kulipea kipaumbele. Hakuna lolote linaloweza kufanyika katika nchi hii ikiwa kutakuwa na matatizo ya stima. Maendeleo mengi yanayofanyika katika nchi yetu na kwote ulimwenguni yanatokana na kuwepo kwa stima. Iwapo tutafanya hivyo, basi, ninaamini kwamba tutaweza kuendelea sana.

Vilevile, kuna kampuni ya Amu Power, ambayo iko Lamu ambayo hivi karibuni itaanza kutumia mtambo unaotumia makaa ya mawe kuzalisha umeme. Amu Power ni kampuni imeenda Lamu kuwekeza katika sekta ya umeme. Naamini kwamba kampuni hii itakapoanza kutoa huduma, vijana wengi watapata kazi na gharama ya umeme katika eneo la Lamu itapungua.
view
9 Mar 2016 in National Assembly:
Ni lazima Serikali pia iwajibike pakubwa kuhakikisha kwamba wananchi wamelindwa. Utapata mashirika mengi ya umeme yanapata hasara fulani ama kunatokezea mambo ambayo yanaleta kutokua na mwelekeo katika suala hili. Ningependa Serikali iwe na tahadhari kubwa kwa sababu kuna malalamishi mengi juu ya suala hili kutoka kwa wananchi. Mara nyingi wananchi hulalamika kuhusu huduma duni wanazopata kutoka mashirika kama haya. Wakati mashirika kama hayo yanapokwenda kwenye sehemu kama hizo, kuna mambo fulani ambayo wananchi wanatarajia yazingatiwe pakubwa, haswa masuala ya ajira. Watu kutoka sehemu nyingine hupelekwa kufanya kazi katika sehemu hizo lakini wenyeji ndio wanaostahili kupewa kipaumbele kwenye masuala ya ajira. ...

Ningependa kutoa tahadhari na kuwaomba wahusika wahakikishe kwamba mipango yote imetekelezwa vizuri ili huduma hii iweze kumfikia kila mmoja wetu kikamilifu bila ya kumsahau mwananchi wa kule mashinani ambaye hakutarajia kuipata huduma hii. Zaidi, ningependa wananchi waelimishwe jinsi ya kutumia umeme kwa sababu tunajua kwamba umeme ni hatari. Kuna watu ambao hawajawahi kutumia umeme. Serikali inastahili kuwaelimisha watu hao kuhusu uzuri na madhara yanayotokana na umeme.