Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1041 to 1050 of 2266.

  • 9 Sep 2021 in Senate: Shukrani, Bi. Naibu Spika. Kwanza, ninampa kongole ndugu yangu, Sen. Kinyua, kwa kuleta Taarifa hii. Yeye ni Seneta mchapa kazi ambaye anawakilisha Kaunti ya Laikipia. Vilevile, ni mwenzangu katika kuzungumza Kiswahili mufti. Ni aibu kwamba leo hapa Kenya, jeshi letu haliwezi kuchukua hatua. Sasa hivi, tunavyoongea, familia 40 zimefurushwa kutoka makao yao huko Olmoran. Katika eneo la Kisii Ndogo, takrniban nyumba 50 zimechomwa na watu kufurushwa. Mkutano wa polisi ulikuwepo katika eneo hilo na kufanya mkutano mkubwa lakini huyu Bw. Natembeya na mkubwa wa polisi wa Kaunti ya Laikipia, wamezembea katika kazi yao. Kisii ndogo, kuna nyumba karibu 50 zimechomwa ... view
  • 9 Sep 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

  • 9 Sep 2021 in Senate: Serikali yetu imekubaliana ya kwamba hatuna vifaa vya kuweza kuwazuia watu hao wanaosababisha hali ya ukosefu wa usalama. Sasa tunashidwa, ikiwa maaskari hawawezi kuzuia wahalifu hao, wanaogopa hata kuwafuata watu hao ambao tunaambiwa wameingia katika Laikipia Conservancy, mahali ambapo wanyama pori wanaishi, wamewekwa hapo na wazungu ama watu Fulani. Mifugo wanapoibiwa, wanapitishwa ndani ya Laikipia conservancy na kufichwa kule ndani. Askari wanapoambiwa wafuateni wahalifu hao ambao wameingia ndani ya view

  • 9 Sep 2021 in Senate: askari hao wanakuwa waoga. Sasa ikiwa askari wanaogopa kufuata wahalifu hao, ni kina nani watafuata kule ndani? Uvamizi kama huu na watu ambao wanaiba mifugo, kuua watu na kuleta maafa na kuharibu mali ya watu, Serikali inatakikakana kupambana nao vilivyo. Kamati ya Usalama inatakikana iende huko mara moja kuonyesha kwamba sisi tunafanya kazi na tunawajali wananchi. Kamati hiyo inafaa iende huko na ilete ripoti haraka iwezekanavyo ili tuweze kuona ya kwamba amani imepatikana katika eneo hilo la Laikipia. Laikipia ni Kenya; haiko nje ya Kenya. Kwa hivyo, ni lazima iangaliwe kisawasawa. Hatusemi wanajeshi watumwe katika eneo hilo. Tungependa maaskari watumwe ... view

  • 9 Sep 2021 in Senate: Bi. Naibu Spika, wanajeshi wetu wabaki kwenye mipaka ya Kenya. Hapa ndani tuko na vikosi vya polisi vya kulinda wananchi. Watu wa Kaunti ya Laikipia ambao mali yao iliharibiwa wanahitaji chakula. Serikali iwajibike wakati huu wa shida kama huu na kuwapelekea vifaa vya kujikimu. Asante sana, Bi. Naibu Spika. view

  • 9 Sep 2021 in Senate: Hoja ya nidhamu, Bi. Naibu Spika. Ninaelewa jinsi sheria inasema kuhusu Kipengele cha 47(1). Kwa sababu ya huu ukame, Rais ametangaza kuwa hili ni janga kubwa la kitaifa. Ingekuwa vyema iwapo ungenipa dakika tatu ama nne hivi, niunge mkono wito wa Rais na pia nimuunge mkono ndugu yangu ambaye amesema janga hili limemfikia kila mtu. Hata mimi janga hili limenifika. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus