Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1051 to 1060 of 2266.

  • 9 Sep 2021 in Senate: Hoja ya nidhamu, Bi. Naibu Spika. Ninaelewa jinsi sheria inasema kuhusu Kipengele cha 47(1). Kwa sababu ya huu ukame, Rais ametangaza kuwa hili ni janga kubwa la kitaifa. Ingekuwa vyema iwapo ungenipa dakika tatu ama nne hivi, niunge mkono wito wa Rais na pia nimuunge mkono ndugu yangu ambaye amesema janga hili limemfikia kila mtu. Hata mimi janga hili limenifika. view
  • 9 Sep 2021 in Senate: Bi. Naibu Spika, ninaomba dakika nne. view

  • 9 Sep 2021 in Senate: Bi. Naibu Spika, unajua wewe ni mwingi wa imani, kwa hivyo ninaomba--- view

  • 9 Sep 2021 in Senate: Asante, Bi. Naibu Spika, unajua wewe ni mwingi wa imani pia wewe ni mama na wanaoumia zaidi katika janga la njaa ni akina mama. Ninamshukuru ndugu yangu kwa kuleta hii Taarifa kuhusu janga la njaa nchini, hususan akigusia upande wake wa Kaunti ya Kitui. Ni kweli kuwa kuna maeneo yaliyotangazwa kwamba yamo hatarini kuathirika na janga hili la njaa. Miongoni mwa kaunti hizi ni Kitui, Garissa, Kilifi, Mandera na kwingineko. Janga la njaa linapotokea, watoto wa shule na akina mama ndio wanaathirika zaidi. Wazee hawaendi shambani wala hawashughuliki na watoto na haya yote ni mzigo. Mama amebeba mtoto mgongoni huku ... view

  • 9 Sep 2021 in Senate: Bi. Naibu Spika, janga hili limeathiri sana watoto wa shule kwa sababu shule nyingi zimelazimika kufungwa. Tarabitu za shule hazifuatwi kamwe. Wanaopoteza ni watoto ambao shule zao zimefungwa kutokana na janga la njaa. Nahimiza Rais Kenyatta amrishe maafisa wote wanaohusika na mambo ya ugatuzi waaande mashinani iliwajionee hali ilivyo. Ningependa kuona Wizara ya Ugatuzi na Mipango ikijihusisha vilivyo na yote yanayoendelea katika eneo zilizoathirika na janga la njaa. Kaunti zilizoathirika na janga la njaa ni kama Kitui, Kifili na zingine mingi. view

  • 9 Sep 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus