9 Sep 2021 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
9 Sep 2021 in Senate:
Ningependa kuona wizara hiyo ikifanya kazi kwa sababu imekuwa ikizembea wakati mwingi. Wizara hizo lazima ziende katika kaunti zilizoathirika na kuonyesha utaalamu wao. Hatutaki maafisa wanaohusika kukaa tu katika ofisi zao hapa Nairobi.

7 Sep 2021 in Senate:
Asante, Bi. Naibu wa Spika. Kwa niaba yangu na kwa niaba ya watu wote wa Kaunti ya Kilifi, ninatoa rambirambi zangu kwa familia, jamii na marafiki wa Sen. Prengei.

Sen. Prengei alikuwa kijana shupavu na Seneta wa hali ya juu katika kushughulikia maswala yanayohusu watu wa jamii yake ya Ogiek. Hususan, alijibidiisha sana upande wa kutetea maswala ya haki upande wa mashamba ya watu wake.

Sen. Prengei alikuwa kijana sana. Kifo hakichagui, hakipimi wala hakiangalii. Kinakuja kwa mtu yeyote, lakini kikija kwa mtu ambaye ameanza familia na hata