7 Sep 2021 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
7 Sep 2021 in Senate:
kuiweka familia yenyewe sawa sawa, ni jambo la kusikitisha. Ni jambo la kuuliza na sio jambo nzuri kutokea katika familia. Sisi kama Maseneta, tulimpenda Sen. Prengei lakini Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi.

Bi. Naibu Spika, Sen. Prengei alitoka katika jamii la Ogiek ambao wanaishi katika Bonde la Ufa. Hii ni jamii ndogo sana tena ya watu wachache sana. Kumpoteza mtu kama huyu katika jamii na familia ndogo kama hiyo, sio jambo ambalo kila mtu anatafakari. Sisi tuko upande huu wa Bunge na yeye alikuwa ule upande mwingine wa wale waliomteua. Pale walipo, tunawaomba tu waangalie maswala ya jamii ya Ogiek. Lipo jukumu la kuhusisha hili kabila dogo la Ogiek, ili kupatikane kiongozi mwingine kutoka hii jamii, apewe nafasi hiyo kumaliza muhula huu unaoendelea hadi mwaka wa 2022. Mimi na watu wa Kaunti ...

Asante, Bw. Spika wa Muda. Kwanza, ninamshukuru ndugu yangu, Sen. Khaniri, kwa kuleta Ardhilhali hii. Tunajua mambo ya mashamba yako na utetesi mwingi. Tunaelewa kwamba watu wetu hupata riziki yao kutoka mashamba yao na wanapenda kuyamiliki. Hapo zamani palikuwa na mwanasiasa kwa jina J.M. Kariuki kutoka Kaunti ya Nyandarua. Katika hili Bunge, alisema kwamba Kenya ilikuwa na matajiri elfu kumi na masikini millioni kumi. Hilo lilikuwa jambo la kusikitisha lakini yeye alikuwa upande wa Kaunti ya Nyandarua na aliongea juu ya Wakenya wengi. Hivi leo, kama kuna donda sugu ni suala la uskuota nchini. Mashamba ya ADC yamejaa maskuota. Tunavyoelewa ...
view
7 Sep 2021 in Senate:
Asante, Bw. Spika wa Muda. Kwanza, ninamshukuru ndugu yangu, Sen. Khaniri, kwa kuleta Ardhilhali hii. Tunajua mambo ya mashamba yako na utetesi mwingi. Tunaelewa kwamba watu wetu hupata riziki yao kutoka mashamba yao na wanapenda kuyamiliki. Hapo zamani palikuwa na mwanasiasa kwa jina J.M. Kariuki kutoka Kaunti ya Nyandarua. Katika hili Bunge, alisema kwamba Kenya ilikuwa na matajiri elfu kumi na masikini millioni kumi. Hilo lilikuwa jambo la kusikitisha lakini yeye alikuwa upande wa Kaunti ya Nyandarua na aliongea juu ya Wakenya wengi. Hivi leo, kama kuna donda sugu ni suala la uskuota nchini. Mashamba ya ADC yamejaa maskuota. Tunavyoelewa ...
view
7 Sep 2021 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
7 Sep 2021 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
7 Sep 2021 in Senate:
Wananchi wa Kenya na kuwaweka katika barabara na hali ambayo wanaishi na watoto, wao na familia zao katika hali ya kusikitisha.
view