7 Sep 2021 in Senate:
Wananchi wa Kenya na kuwaweka katika barabara na hali ambayo wanaishi na watoto, wao na familia zao katika hali ya kusikitisha.
view
7 Sep 2021 in Senate:
Bw, Spika wa Muda, ombi langu ni kwamba haki itendeke kwa kila mtu kuanzia upande wa Nandi, na kwa Wamasai wanoishi kule, wakiongozwa na Sen. Olekina. Katika eneo lolote ambalo liko na maskwota Serikali ichukue jukumu ili wanaoishi pale wapate eneo hilo.

Watu wa Sabaki pia ni Wakenya na wana haki ya kupata ardhi yao ile ya ADC. Waendelee kuishi palepale kama walivyokuwa wakiishi hapo zamani.

Asante Bw. Spika wa Muda. Ninamshukuru Sen. Kasanga kwa kuleta Taarifa hii. Walemavu wanateswa kwenye kazi hizi. Ni jambo la aibu kwamba ukiendesha gari, mataa yakiwaka nyekundu, wanakuja kwa dirisha kuomba. Hili sio jambo linalotendeka katika barabara pekee. Siku hizi, wako katika vichochoro pia. Ukichunguza sana utaona kuna matajiri ambao waliwaleta kwenye barabara kuja kuomba omba ili wapate pesa. Nilikuwa nimeketi mahali fulani nanikaona mlemavu akiomba na baadaye ukimwachia pesa, baada ya dakika mbili au tatu, mtu anakuja kuchukua hiyo pesa na yeye anabaki pale pale. Hao ni wale wanaambiwa enda uketi pale ukichanga pesa kiasi fulani jioni tutakupa kiasi ...

The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.

Kama ni uchunguzi, ufanywe zaidi ili tuweze kulazimisha Serikali kufanya kitu fulani. Kunaweza kuwa na askari au watu hawa wachukuliwe wawekwe mahali wanaweza kujikimu kimaisha Asante.
view