Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1091 to 1100 of 2266.

  • 7 Sep 2021 in Senate: Kama ni uchunguzi, ufanywe zaidi ili tuweze kulazimisha Serikali kufanya kitu fulani. Kunaweza kuwa na askari au watu hawa wachukuliwe wawekwe mahali wanaweza kujikimu kimaisha Asante. view
  • 7 Sep 2021 in Senate: Hoja ya Nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Sen. Murkomen ni rafiki yangu sana. Kwa hivyo, singependa kumkatiza akiwa bado anaongea. view

  • 7 Sep 2021 in Senate: Sen. Murkomen ni wakili na anajua kwamba ikiwa jambo liko katika mahakama, si vizuri kulizungumzia kwa kina. Yale yote anayosema yako kwenye Supreme Court ambayo itasikia na kutoa uamuzi. Najua kuwa Sen. (Prof.) Kindiki pia atahusika. view

  • 7 Sep 2021 in Senate: Je, ni sawa Sen. Murkomen kujadili mambo ambayo yako katika Supreme Court ? Yeye ni wakili kama mimi. Ninamheshimu sana kwa sababu najua kuwa yeye ni mtu shupavu. Hata hivyo, amevuka mpaka. Je, ni sawa kufanya hivyo? Kama si sawa, basi afadhali aache na kuendelea na mengine. Nilikuwa nataka kumuunga mkono kwa yale mengine yote aliyosema. view

  • 7 Sep 2021 in Senate: Bw. Spika wa Muda, asante. Kwanza, nataka kujiunga na Maseneta wenzangu ambao wameweza kuchangia mjadala huu. Kama kuna kitu kikubwa ambacho watu wanaweza kukosania ni hali ya pesa. Tukiwa tunaongea mambo ya ugavi wa pesa zinazokwenda katika kaunti, hapo ndipo mahali watu huanza kukosana. Nakumbuka wakati ule wa ugavi wa pesa, Maseneta kutoka pande zote mbili, kama vile alivyosema ndugu yangu, Sen. Murkomen. Tuliweza kujitenga na kusema kwamba inafika wakati mtu anafikiria, je, ni kaunti yangu ama ni njia nyingine panda? Tunasema kwamba kila Seneta hapa aliyekuwa anapoteza na hata wale ambao walikuwa hawapotezi walikuwa na imani sana kwamba katika ... view

  • 7 Sep 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus