Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1101 to 1110 of 2266.

  • 7 Sep 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 7 Sep 2021 in Senate: haya yanaletwa kwa sababu pesa hizi hazijafika kwenye serikali za mashinani. Ni jambo la aibu hivi sasa ikiwa tumeketi hapa na wauguzi katika Kaunti ya Mombasa wamesusia kazi. Wanasema hawawezi kufanya kazi kwa sababu utafanya kazi aje ikiwa tumbo lako liko na njaa? Tuko na Maseneta kwenye kamati hapa. Dadangu, Sen. Kwamboka, na ndugu yangu, Sen. Olekina; ndugu zangu Maseneta, sioni sababu ya kwamba Mombasa ama mahali popote katika nchi hivi sasa wamesusia kazi. Sen. Olekina, tafadhali angalieni haya mambo mkiwa katika Kamati ya Afya. Endeni mashinani na Hazina ya Kitaifa na katika wizara muone kwamba pesa hizi zimetolewa na ... view

  • 7 Sep 2021 in Senate: Kipengele cha Katiba cha 219 kinashurutisha kikisema kwamba bila kupoteza wakati ama muda wa kisawa sawa unaotakikana ama bila kuchelewesha hizi pesa, pesa hizi zinatakikana zitolewe katika Hazina ya Kitaifa na ziende katika serikali za mashinani. Je, huu ni ukiukaji wa Katiba? Kama ni ukiukaji wa Katiba wa kweli kulingana na Kipengele cha 219 kinachosema pesa hizo “ without undue delay,” yaani bila kuchelewesha kwa muda ambao hautakikani. Pesa hizi zinatakikana zifike katika serikali za mashinani. Tunauliza yeye awezekupeleka hizi pesa. Bw. Spika wa Muda, ni jambo la aibu kufikia hivi sasa ya kwamba Waziri wetu wa Hazina ya Kitaifa ... view

  • 5 Aug 2021 in Senate: Bw. Spika wa Muda, ninasimama kwa Hoja ya Nidhamu. Kulingana na sheria zetu, ni haki kuongea juu ya mtu ambaye hayumo humu Bungeni, ama katika nafasi ya kujitetea, kisha tena uongee kwa njia isiyo na heshima? Lazima tuwaheshimu viongozi wetu. Sisi sote ni Waafrika na tunajua heshima kwa mtu mzima aliyekupita kwa umri ni jambo la muhimu. Hapa yeye haongei juu ya mtu asiye muhimu. Huyo ni muhimu tena mkubwa wake kwa umri na hata anaweza kuwa baba yake. Kwa hivyo, itakuwa ni matusi Sen. Murkomen kutumia lugha isiyofaa kwa kiongozi wa taifa hili ambaye ameleta amani humu nchini. Ni ... view
  • 5 Aug 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 4 Aug 2021 in Senate: Asante Sana, Bi Spika wa Muda. Kitu cha kwanza nataka nimpatie kongole sana ndugu yangu mkubwa, Sen. Wetangula, kwa kuleta malalamishi haya katika Bunge hili hususan ikihusikana na watu wake kutoka huko Bungoma. Mwanzo, Waswahili walisema ukiona cha mwenzako cha nyolewa, chako tia maji. Sisi tumekuwa tukinyolewa sana na mambo haya kule pwani. Lakini wakati huu, ninaona kunyoa huku sasa kumefika upande ule wa watu wa Bungoma. Ni jambo la kusikitisha. Jambo la kwanza ni kuona watu ambao wameishi mahali kwa miaka mingi. Wametunza msitu wao. Wameishi na huo msitu. Wanaketi hapo karibu na kushirikiana kuona ya kwamba mazingira yako ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus