Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1111 to 1120 of 2266.

  • 4 Aug 2021 in Senate: Asante Sana, Bi Spika wa Muda. Kitu cha kwanza nataka nimpatie kongole sana ndugu yangu mkubwa, Sen. Wetangula, kwa kuleta malalamishi haya katika Bunge hili hususan ikihusikana na watu wake kutoka huko Bungoma. Mwanzo, Waswahili walisema ukiona cha mwenzako cha nyolewa, chako tia maji. Sisi tumekuwa tukinyolewa sana na mambo haya kule pwani. Lakini wakati huu, ninaona kunyoa huku sasa kumefika upande ule wa watu wa Bungoma. Ni jambo la kusikitisha. Jambo la kwanza ni kuona watu ambao wameishi mahali kwa miaka mingi. Wametunza msitu wao. Wameishi na huo msitu. Wanaketi hapo karibu na kushirikiana kuona ya kwamba mazingira yako ... view
  • 4 Aug 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

  • 4 Aug 2021 in Senate: uskisema kwamba hawa watu leo hapo sio kwao wafurushwe, waende, na watoke, hilo halitakuwa jambo nzuri. Bi. Spika wa Muda, hiyo harakati ambazo Serikali imechukua, naona kwamba sio sawa na sio haki. Hususan watu wa Webuye ni lazima wapewe nafasi hiyo ili waweze kuangalia maisha yao ya usoni yatakuwa namna gani. Ile Kamati yetu ambayo inahusika na jambo hili inatakikana ichukue hatua haraka sana kuona kwamba imeleta ripoti ambayo itaweza kuwapa hawa watu wa Webuye mwelekeo. Asante, Bi. Spika wa Muda. view

  • 3 Aug 2021 in Senate: Bi. Spika wa Muda, naomba unipe dakika moja nimalize. Ningependa kuzungumzia Kaunti ya Taita Taveta kwa sababu hao ni watu wa umuhimu sana. view

  • 3 Aug 2021 in Senate: Asante, Bi Spika wa Muda. Ninakujua kwa ukarimu wako. Ni lazima watu wa Kaunti ya Taita Taveta wafaidike na rasilmali zao, ambazo ni ghali na zime tajirisha Wakenya wengine. Hata wengine walikuwa katika hili Bunge la Seneti mwaka wa 2013 hadi 2017. Wametajirika sana na hata kujulikana Kenya nzima. Sio Mkenya mmoja tu aliyetajirika bali ni wengi lakini sijaona ikitajirisha Mtaita hata mmoja. Ikiwa ni green granite, ruby na diamonds ambazo zinapatikana katika Milima ya Taita, basi lazima Wataita wafaidike na mali yao. Sio tuu kuingia ndani ya mashimo, kupasua kwa baruti kisha kuteseka na magonjwa na mishahara midogo. Wanaotajirika ... view

  • 3 Aug 2021 in Senate: wanauza na kupata pesa kisha kuwaacha maskini wananchi wa Kaunti ya Taita Taveta. Katika Mswada huu, sasa tumepata uganga. Ukitibiwa na mganga na upone, huu ndio uponyaji sisi kama Wakenya katika taifa letu. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus