Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1231 to 1240 of 2266.

  • 24 Feb 2021 in Senate: Bi. Naibu Spika, jambo kama hili limetendeka tena kwa upande wa Jacklyn Mugure. Hii ni tabia ya kuzembea kazini kwa askari wetu. Sasa imefika wakati Wizara ya Bw. Matiang’I, ambayo inahusika na mambo ya polisi na jinsi wanavyoweka bunduki zao, ingekua vyema kama mtu hajaelewa kutumia bastola asipewe bastola ya kuenda kwa wananchi kisha anawaumiza. Jambo kama hili linatokea sana katika Kaunti ya Kilifi. Kila siku kule Kilifi hakukosi vijana, wazee au watu ambao wanafukuzwa na polisi. Ikifika usiku, watu wanashika roho zao ndani ya mikono kwa sababu hawaezi kutembea bila kuwa free ilhali hii Kenya ni nchi yetu. Tunasema ... view
  • 23 Feb 2021 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I beg to give notice of the following Motion- THAT, the Senate notes the Report of the Third Ordinary Session of the 5th Parliament of the Pan-African Parliament held from 7th to 18th October, 2019 in Midrand, South Africa, laid on the Table of the House on Tuesday, 10th March, 2020. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

  • 23 Feb 2021 in Senate: Asante, Bw. Spika. Kule nyumbani watu wanasema mshale ukiingia nguruwe huwa uko tamu kuliko ukiingia wewe binadamu. Hii inamaanisha kwamba hushughuliki yakitokea kwa mwingine, lakini yakitokea kwako inakuwa jambo la kusikitisha. Taarifa hii iliyoletwa na dada yetu, Sen. Were, ni Taarifa ya kuhuzunisha sana. Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba tunaweza kuruhusu watu kutoka nchi za ng‟ambo, wazungu, na wengineo ambao wako na nia ya kuja kuanza biashara kama hizi Kenya. Wakati wanaanza hizi biashara inakuwa rahisi sana. Wanaweza kuanza hizi nyumba za kuweka watoto yatima, na hatimaye wanachukua watoto wadogo sana na kuwaweka katika zile nyumba. Bw. Spika, makosa ... view

  • 23 Feb 2021 in Senate: Bw. Spika, jambo dhaifu zaidi upande wetu ni korti zetu. Kitendo kama hiki kikitokea, kikiripotiwa, mtu anashikwa na kupelekwa kortini, halafu korti inaangalia inamuachilia. Ninampongeza sana Bii Ruto ambaye alichukua hii kesi kwa hasira na hatimaye akaipeleka kwa korti za ng‟ambo na sasa hukumu imepatikana. Yule mtu aliyefanya kitendo hicho kwa wale wasichana wadogo wa Kenya amefungwa miaka mingi. Lazima korti zetu hapa Kenya ziige mfano kama huu ya kwamba watu ambao wanabaka watoto wadogo wasiachiliwe hata kidogo. Wakati mwingine yule dada yetu Naomi akisema mambo haya yanafanywa namna hii, inaonekana ni kama tunaweza kuunga mkono. Huwezi kufikiria jinsi mtu ... view

  • 23 Feb 2021 in Senate: Shukrani, Bw. Spika. Hata mimi ninashangaa ni kwa nini Sen. Halake ameniingilia katikati. Sijui kama amekielewa Kiwahili changu. Inafaa katika Hoja kama hii unakuwa wazi kwa kila jamiii. Hatuongei habari za Wazungu pekee maanake hata ndani ya nyumba tunajua akina baba wengine hubaka watoto wao. Kwa hivyo, jambo hili si la mzaha. view

  • 23 Feb 2021 in Senate: Bi. Spika, amenipa habari hiyo lakini badala ya kusikiliza anaendelea kuongea. Sasa ni kama alikuwa anaingia tu katikati. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus