Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1351 to 1360 of 2266.

  • 4 Aug 2020 in Senate: Bw. Spika, tunajua mtu ambaye anashutumiwa kwa jambo kama hilo. view
  • 4 Aug 2020 in Senate: Yes. view
  • 4 Aug 2020 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 4 Aug 2020 in Senate: Asante, Bi. Naibu Spika. Uzuri wetu ni kuwa maisha ya mmoja wetu yakiwa hatarini au ikiwa Seneta anaweza kupoteza maisha yake kwa sababu ya vile anavyofanya kazi hapa, Bunge la Seneti linatupa haki ya kujadiliana na kuhakikisha kwamba Seneta huyu anafanya kazi yake bila matisho kama hayo. view
  • 4 Aug 2020 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 4 Aug 2020 in Senate: Saa 2.30 p.m. tulipokuwa tunaingia hapa, askari walikuwa wamejaa hapa nje wakiangalia sisi ilhali kama hiyo haikubaliwi katika Bunge. Pia Sen. Malalah amepata tishio kama hilo. Tutaendelea hivi kwa miaka mingapi? Hii ni kwa sababu katika historia ya Bunge la Kenya, tunajua kwamba ukishakisiwa kuwa wewe ni mtu wa msimamo fulani, basi unaweza kupatikana katika msitu wa Ngong.Wabunge waliokuwa wakakamavu katika siasa walipoteza maisha yao ndani ya msitu wa Ngong. Hatutaki kuona msemo kama huo ukisemwa ama ukitokea hivi sasa. Sen. Sakaja ni kijana mdogo sana ambaye ana familia changa. Sitaki kuamka kesho asubuhi na kusoma kwamba yeye amepoteza maisha ... view
  • 28 Jul 2020 in Senate: Asante, Bw. Spika. Ninakushukuru kwa kunipa nafasi hii. Jambo la kwanza ningependa kutamka ni kwamba leo kila Seneta aliye hapa apewe nafasi ya kuongea juu ya Hoja iliyo katika Bunge hili. Tunazingatia zaidi kwamba Hoja hii ni ya kitaifa. Kwa hivyo, ni muhimu kila Seneta aliye hapa apewe nafasi hiyo. La pili ni kwamba, kuna nia kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Bajeti atakapomaliza kusoma Hoja, baadaye awe seconded. Utapata ya kwamba kuna watu watataka kufanya mageuzi kidogo kwenye hiyo Hoja, pengine mimi nikiwa mmoja wao. Ikiwa nafasi itapatikana, ningependa nafasi hiyo ipeanwe ili Seneta mwengine pia apate nafasi ... view
  • 28 Jul 2020 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 28 Jul 2020 in Senate: Mr. Speaker, Sir, everyone one of us here is in anticipation. Therefore, the idea of asking how one anticipated that we would take this or that much time should not arise. We are here for that purpose, to anticipate. view
  • 28 Jul 2020 in Senate: Asante sana, Bw. Spika. Naambiwa Kiranja wa Bunge la Seneti, ndugu yangu Sen. Kang’ata anakanyaga waya. Amekanyaga tena. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus