Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1361 to 1370 of 2266.

  • 28 Jul 2020 in Senate: Bw. Spika, naipinga Hoja iliyoletwa na ndugu yangu, kiranja wa wengi katika Seneti, ya kuleta mabadilisho katika Hoja ya ugavi wa pesa. Sababu za kuipinga Hoja hii ni kwamba italeta mtafaruku mkubwa kama tuilionao leo miaka miwili baadaye. Hoja hii italeta aibu kubwa katika Seneti. Ugavi wa pesa ni jukumu la Seneti lakini tumeshindwa kulitekeleza. Nasema hivyo kwa sababu ikiwa tutahairisha kutengeneza mipango ya The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 28 Jul 2020 in Senate: ugavi wa pesa, kikamilifu na kwamba baada ya miaka miwili, tutarudi katika ugavi wa hesabu uliokuwepo awali, tutagandamiza kaunti zingine na zingine zitafaidika. Hii inabainisha ya kwamba ukisema utaniua leo, basi afadhali uniue sasa hivi kuliko kuniambia utaniacha leo lakini utaniua baada ya miaka miwili. view
  • 28 Jul 2020 in Senate: Uhairishaji wa Hoja hii ya ugavi wa pesa inamaanisha kwamba tutakuwa sawa sasa hivi na mwaka ujao lakini baada ya miaka miwili, tutarudi pale. Bunge hili la Seneti lina jukumu la kurekebisha hali ilivyo. Nilitembea katika Kaunti ya Nandi na nilifurahi na Wanandi. Nataka uhakikisho kwamba baada ya miaka miwili, kaunti zote 47 zinapata mgao wao kisawasawa. Hakupaswi kuwa na mtafaruku kama tulionao sasa hivi. Ijapokuwa Kiranja wa waliowengi katika Seneti amesema kwamba hakuna kaunti itakayo poteza pesa kwa miaka miwili, athari iliyoko ni kwamba Hoja hii itakuja tena katika Seneti baada ya miaka miwili na utaturegesha pale. view
  • 28 Jul 2020 in Senate: Bw. Spika, taratibu tunazoziona mbele yetu hivi sasa ni aibu katika Bunge letu la Seneti. Hatujawahi kuwa na hali kama hii katika miaka minane ambayo nimekuwa Seneta. Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu ya Kenya, tunataka kuigawanya Kenya yetu. Kenya ni nchi moja na sisi wote ni wakenya. Mwenendo ambao tunataka kuchukua, utaleta shida baada ya miaka miwili. Tarabitu inayopendekezwa italazimu wengine wetu kubeba mabango baada ya miaka miwili kusema kwamba ‘Pwani si Kenya’. Nasema hivyo kwa sababu sehemu za Pwani zimelaliwa sana. Sehemu za Kaskazini Mashariki pia zimelaliwa sana. Sehemu ambazo wanatoka ndugu zetu wa North ... view
  • 28 Jul 2020 in Senate: Ahsante sana, Bi Naibu Spika. Sisi ni watumishi wa kaunti zetu na tuko hapa kufanya kazi. Sisi ni essential workers . Hii ni hoja ya nidhamu. Kwa hivyo, ni vyema uongeze wakati ndiposa tuweze kujadili Hoja hii ambayo ni muhimu kwa maisha ya Wakenya. view
  • 14 Jul 2020 in Senate: Asante Bi. Naibu Spika. Jambo la kwanza ni kwamba mambo haya ya--- view
  • 14 Jul 2020 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 14 Jul 2020 in Senate: Bi. Naibu Spika, taarifa ya Sen. Kihika ni muhimu, hasa tukizingatia kwamba wale wanaofurushwa katika maeneo yao wanamoishi ni watu lala holela. Jamblo la kwanza na la fedheha ni kuona kume bomolewa kwa nyumba za watu. Jambo hili si haki hata kidogo. Katika Kaunti ya Kilifi watu wamewahi kutimuliwa kutoka mashamba ya ADC. Pia diwani wa huko amewahi kutiwa ndani kwa sababu alikuwa anatetea watu wake. Haya mashamba ya ADC yamekuwa kama kidonda sugu. Serikali imesema ile ardhi iliyoko Sabaki irejeshewe wananchi. Hata hivyo, tumewaona mabwanyenye amabao wamejitwalia ardhi na kuikatakata vipande vipande na kusema huko ni kwao. Tayari wako ... view
  • 26 Jun 2020 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 26 Jun 2020 in Senate: Thank you, very much for allowing me to interrupt Sen. Malalah. I was one of the Members of this Committee, and I know how detailed that Report is. I think 15 minutes is a little bit short for purposes of expounding on how certain decisions have been arrived at. If we can be given at least half an hour, I believe he will be in a position to expound a little bit more on each decision that was arrived at. It is good because the country is watching. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus