Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1471 to 1480 of 2266.

  • 11 Mar 2020 in Senate: . Neno mwafaka ni “ urgency” ambalo maana yake ni kwa haraka zaidi. Hatua tunayofaa kuchukua ni kumwita Mkurugenzi wa NEMA kesho ili atueleze sababu. Ikiwa ni Waziri, aje hapa hata kama ni kesho ili atupe maelezo. view
  • 11 Mar 2020 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 11 Mar 2020 in Senate: Bw. Naibu Spika, naomba uamuru kwamba hatua yeyote isichukuliwe mpaka utakapotoa uamuzi. Mipango yao isimamishwe ili wale waje kutupa majibu kabla ya hatua kuchukuliwa. Asante, Bw. Naibu Spika. view
  • 10 Mar 2020 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii kuungana na ndugu zangu. Natuma risala za rambirambi kwa familia ya marehemu Mhe. Dori. Kwa niaba ya watu wa Kilifi, natoa risala za rambirambi kwa familia kwa sababu najua wana huzuni wakati huu. Itakumbukwa kwamba sisi Wabunge kutoka Pwani tulikuwa na kikao ili kumchagua kiongozi wetu. Kwa kauli moja, sote tulikubaliana kwamba marehemu Mhe. Suleiman Dori alikuwa na uwezo, akili na maarifa ya kuwa Mwenyekiti wa Wabunge wote kutoka Pwani. Hicho ni cheo ambacho tulimpa na sote tulikuwa tunamheshimu kama Mwenyekiti wetu. Sasa hivi, tuna jukumu la kujua nani atachukua nafasi hiyo. Alikuwa ... view
  • 10 Mar 2020 in Senate: La muhimu zaidi pia ni kutambua kwamba kuna watoto wa kike 50 ambao amekuwa akiwalipia karo katika shule hiyo. Kwa hivyo, kiongozi kama huyo alijitolea kwa moyo msafi. view
  • 10 Mar 2020 in Senate: Ningependa kusihi Serikali ya Kaunti ya Kwale ihakikishe kuwa wanafunzi hao 50 ambao wamekuwa wakilipiwa karo na marehemu Mhe. Dori wanaendelea na masomo yao. Mstahiki Gov. Mvurya mwenyewe alikuwa hapo wakati maombi hayo yalikuwa yakifanywa. Kwa niaba ya Seneti, ningependa kumsihi Gov. Mvurya achukuwe nafasi ili kuona kuwa watoto hao hawafukuzwi shuleni. Wanafaa kusoma mpaka wamalize masomo yao. view
  • 10 Mar 2020 in Senate: Asante, Bw. Spika. Ni jambo la kusikitisha kwamba watu wanatoa rambirambi zao halafu katikati, tunaanza kujibizana namna hii. Nilikuwepo katika hiyo hafla ya mazishi. Aliyetajwa ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha ODM aliomba msamaha kwamba: “Nitasema lakini kama nitakanyaga roho za watu wengine, mtanisamehe.” Watu waliposema kwamba si sawa vile alivyoongea, yeye mwenyewe alirudi tena akaomba msamaha: “Kama nimewakosea, basi mnisamehe.” Aliketi na hayo mambo yakamalizika. Sijui kwa sababu gani tunaleta tumbo joto hapa ndani ambayo haifai? The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the ... view
  • 20 Feb 2020 in Senate: On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir. My intervention is very friendly on that point of order. Instead of two minutes, can you grant us three minutes? I will donate my time to my brother, Sen. Olekina, so that he can get five minutes. Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. view
  • 20 Feb 2020 in Senate: On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir. view
  • 20 Feb 2020 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, I am noticing something very interesting. It is very interesting in the sense in that, of course, you have the last say as to who should take to the Floor. However, there have been exchanges of conversations here as a point of information between the Senate Majority Leader and Sen. Olekina here. In these exchanges – I do not know whatever they were exchanging – the only thing is that it was not a good exchange. Now the House has been drawn into it. When the Senate Majority Leader was speaking, I realized that he took ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus