Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1511 to 1520 of 2266.

  • 4 Dec 2019 in Senate: Kwa hivyo, mimi ninataka kujuwa ni lini; hasa kile kipande cha kuanzia pale Mtwapa mpaka kule mwisho wa weigh bridge; ni kipande cha mita 300. Utashangaa kwa sababu inachukuwa masaa mawili, mawili na nusu au matatu kuvuka pale katikati. Unaweza kutafakari kwamba, masaa matatu ama mawili na nusu kupita kiwango cha mita 300 pekee yake. Hiyo imeleta shida kubwa sana. Hata afadhali ingewachwa vile ilivyokuwa kuliko kuiharibu mkisema kwamba mtatengeneza halafu haitengenezwi. Hilo ni swala ambalo nilikuwa ninataka liwekwe kupaumbele. Bw. Spika jambo la mwisho ni, ile barabara ya kutoka Kilifi hadi Bamba. Mheshimwa Rais alikuja akasema ya kwamba hii ... view
  • 3 Dec 2019 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuweka mkazo kwa Taarifa hii iliyoletwa na ndugu yetu Seneta wa Taita-Taveta. Katika miaka 40 iliyopita, kama kulikua na mji maskini, ulikua mji wa Dubai. Kule nyumbani tunauita Dubai. Dubai ilikua mji maskini sana; watu walikua wanatamebea na ngamia, kama vile kule North Eatsern. Lakini, leo Dubai inaheshimiwa duniani nzima na kila mtu angetaka kuenda huko, kwa sababu wameinua uchumi wao hali kwamba, hawajivunii rasilmali ya petroli peke, bali pia utalii. Bw. Spika, nchi yetu imebarikiwa sana. Kule upande wa Turkana, kuna petrol, na kule Migori, kuna dhahabu. Ukienda Pwani, kuna ... view
  • 26 Nov 2019 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi kutoa maoni yangu kuhusu janga ambalo lilitokea kaunti ya West Pokot. West Pokot ni sehemu ya Kenya ambayo imekumbwa na shida nyingi. Kwanza, ningependa kutoa rambirambi zangu za dhati kwa watu wa West Pokot. Vile vile, ningependa kutoa rambi rambi kwa aliyekuwa Seneta na ambaye ni Gavana, Prof. John Lonyangapuo, kwa jitihada ambazo anafanya kusaidia watu wake. Nilisikitishwa sana na karibu machozi yanitoke nilivyo ona alivyokuwa akijieleza. Ni kama alikuwa analia. Alisema kwamba ameachiwa watu wa West Pokot ilhali hana uwezo. Hiyo ina maanisha Serikali haijatilia maanani watu wa West Pokot. Bi. ... view
  • 20 Nov 2019 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda. Sheria zetu za mikataba ya Bunge la Seneti zinasema kwamba Mbunge anafaa kuvaa koti ambayo itakua imefika kwenye shingo na imeweza kumfunika kisawasawa. Hakuna mahali popote ambapo panasema kwamba mimi nimevaa hali sintofahamu ya kuingia ndani ya Bunge. Nataka kumwambia ndugu yangu, ambaye pia ni shemeji yangu, Sen. Linturi, kwamba vile nimevaa ni kadri na sheria za Bunge. Asante. view
  • 20 Nov 2019 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, quite a number of other Senators have contributed to this debate, but it is important that I respond. In the previous Parliament, the Speaker ruled that this is proper and decent dressing. The Senate has never been dissolved since 2013, when we were elected, up to date; it is still the same Senate. We have hon. Otiende Amollo in the National Assembly, who never wears a tie. He always dresses this way. The Speaker there ruled that it is decent dressing. view
  • 20 Nov 2019 in Senate: That is why I am telling you that Speakers who were there before you had no problem with it. It is decent. view
  • 20 Nov 2019 in Senate: You should not depart from that. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 20 Nov 2019 in Senate: A very decent dress. view
  • 20 Nov 2019 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ya kuchangia Taarifa hii. Kitu cha kwanza cha kusikitisha ni kwamba kutafuta kazi kwa mwanafunzi wakati amemaliza college ama chuo kikuu ni kibarua chenyewe.. Kwa hivyo, kuna vitu viwili; wale ambao wako katika shule wanasoma. Lakini tunajua kwamba wakimaliza kusoma katika vyuo vikuu, kibarua chao cha kwanza ni kutafuta kazi, ambayo ni kazi yenyewe. Sijui kama ninaweza kueleweka vizuri lakini nafikiria unaweza kunielewa vizuri. Nikisema zaidi ni kwamba yule mtoto akimaliza masomo yake na hapati kazi, inakuwa jukumu la wazazi wake kuendelea kumlisha ndani ya nyumba yao na huku anadaiwa deni ... view
  • 20 Nov 2019 in Senate: Tunajua kwamba kuna wale ambao wana nafasi nzuri kama Sen. Cherargei kutoka kule Nandi ambaye ameweza kuwa Seneta hapa na ana mapato ya juu. Badala ya The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus