10 Sep 2019 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
10 Sep 2019 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Kwanza ninamshukuru Sen. Shiyonga kwa kuleta Statement hii kwa sababu kila uchao kuna ajali barabarani. Saa zingine ajali hizo hazisababishwi na madereva bali zinatokana na ukosefu wa nidhamu wa kuwekewa alama za hatari barabarani. Kwa hivyo, hii isitumike tu kule Wabuye na kwingineko bali Kenya nzima. Palipo na milima, mabonde, miteremko na mito pawekwe alama za hatari. Alama hizo zinafaa kuonyesha watu kama kuna daraja, mteremko au hatari nyingine ya aina yoyote. Kwa sasa, kama ugonjwa mkubwa hapa Kenya si saratani, basi ni ajali za barabarani ambazo zinatumaliza. The electronic version of the Senate Hansard Report is ...
view
10 Sep 2019 in Senate:
Ningependa KeNHA ambayo ina mamlaka ya kutengeneza barabara humu nchini izingatie mambo haya. Hususan ningependa kuzungumzia barabara ya kutoka Mombasa kuelekea Kilifi. Ukishapita Mtwapa hadi Malindi, hakuna alama ya hatari hata moja ilhali barabara hiyo inapanuliwa. Watu wengi wamepoteza maisha katika mlima wa Mbogolo. Tunafaa kutahadharishwa na hatari kama hizo. Ninamuunga mkono Sen. Shiyonga kwa kuleta Statement hii. Hata hivyo, ningependa barabara hiyo ipanuliwe ili kuwe na maendeleo katika taifa nzima la Kenya.
view
10 Sep 2019 in Senate:
On a point of order Mr. Speaker, Sir.
view
10 Sep 2019 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, while I have a lot of respect for my colleague who is also a lawyer like myself, there is a precedent we have in our profession. When a senior counsel has advised, I think it is important to take it in that light, rather than trying to hammer the point home, that you have no problem with it being adjourned. Then what are we doing? It is as simple as that. We are taking time when we should go into serious issues. That request I believe has been made by a senior counsel. While he has not ...
view
10 Sep 2019 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
10 Sep 2019 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, with tremendous respect to my colleague, who is also a Member of the Pan-African Parliament, is he in order to refer to the Senators present in this House as hyenas? Are we hyenas? Could he withdraw and let it be expunged?
view