Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1731 to 1740 of 2266.

  • 2 Oct 2018 in Senate: ni lazima kuwe na mashtaka ambayo yanaweza kuwa na uzito fulani. Tunajua kuwa CECs katika kaunti zetu wanajiita mawaziri. Sijui ni kwa sababu gani hatujaweza kuchukua hatua kwa jambo kama hili. Tukienda katika mikutano mbalimbali, hawa hujiita mawaziri. Sisi tunajua Waziri ni yule anayechaguliwa na mhe. Rais wa Jamhuri ya Kenya. Mhe. Naibu Spika, kando na hayo, tunajua kuwa mashtaka au madai ya kuweza kumwondoa kiongozi kutoka mamlaka kama hayo niliyotaja ni lazima kuwe na mashtaka ambayo yanaweza kuwa na uzito fulani. Mswada huu ni muhimu sana kwa sababu katika Bunge lililopita mimi nilikuwa mmoja wa Maseneta ambao tulijishughulisha na ... view
  • 27 Sep 2018 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 27 Sep 2018 in Senate: Mr. Speaker, Sir, with tremendous respect, I refer the House to Standing Order No. 96(1) on page 66. I want my colleagues to listen to me carefully. Allow me to read this paragraph, 96 (1) which states- “Neither the personal conduct of the President, nor the conduct of the Speaker or of any judge, nor the judicial conduct of any other person performing judicial functions, nor any conduct of the Head of State or Government or the representative in Kenya of any friendly country or the conduct of the holder of an office whose removal from such office is dependent ... view
  • 27 Sep 2018 in Senate: Mr. Speaker, Sir--- view
  • 27 Sep 2018 in Senate: I am on my feet, Mr. Speaker, Sir. view
  • 27 Sep 2018 in Senate: Mr. Speaker, Sir, I think my colleague has been with me in this House since 2013 and he knows the rules. It is a bit unfortunate that at this particular stage, because yesterday he mentioned Sen. Olekina, a colleague who was not in the House. It is happening again today; he is mentioning a Cabinet Secretary who has not been summoned by the House to come and--- I think we are going outside the jurisdiction of this House. He is not in order and I want you to rule on that. view
  • 27 Sep 2018 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I have just heard Sen. Mutula Kilonzo Jnr. mentioning Prof. Swazuri and kongoi missin . I do not know kongoi . Is he in order? view
  • 27 Sep 2018 in Senate: On a point of order Mr. Speaker, Sir. Members should take your rulings seriously in this House. When you have ruled on a particular subject, then it stays as a ruling. However, when Members keep on repeating the same mistakes and the whole country is watching, it is not fair to see your rulings being discarded. I, therefore, just wanted you to caution my colleague and tell him that we should not go against your rulings in this House. view
  • 27 Sep 2018 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii. Jambo la kwanza ni kuwapa heko wale ambao wameleta maswala haya mbele ya Bunge la Seneti. Hawa watu wana uchungu mwingi sana kwa vile ardhi yao ilitwaliwa bila fidia yoyote au kufanyiwa haki. Wengi wao wanaambiwa watimuliwe kutoka kwa mashamba yao bila haki yao kutekelezwa. Matukio haya yanaendelea katika nchi nzima. Tumeona watu wakitimuliwa kutoka kwa mashamba yao bila kulipwa chochote. Tumeshuhudia haya yakifanyika katika Kaunti ya Kilifi. Nina uchungu sana kwa sababu watu wetu wametimuliwa kutoka mashamba yao bila malipo yoyote. Matajiri wana weka ua bila kujali kama kuna makao, vijiji, Misiki ... view
  • 26 Sep 2018 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, first and foremost, I congratulate Mr. Eliud Kipchoge for winning the Marathon. That provided pride for all Kenyans. When I was the Chairman of the Committee on Labour and Social Welfare during the previous Parliament, we went to watch the Olympics. When you see a Kenyan running, you imagine that you are the one running in that field. Even before the race is over, during the last lap, that is when you stand up and are proud to be a Kenyan because The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus