20 Jun 2018 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
19 Jun 2018 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii ili nitoe rambirambi zangu kwa familia ya mwenda zake, haswa kwa mjane, watoto, jamii yote ya Kaunti ya Migori, marafiki na watu wote wa Nyanza kwa jumla. Nilimwona Sen. Ben Oluoch wiki tatu zilizopita akiwa kwa hali mbaya lakini tulitumaini kwamba ndugu yetu atarudi katika Bunge la Seneti aweze kutusaidia kwa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate
view
19 Jun 2018 in Senate:
Asante Bw. Naibu Spika. Ninafuraha ukiwa kwenye kiti kwa sababu utanipa nafasi nyingine. Kama vile Waziri Matiang’I alisema, sukari haramu ina mercury. Nimeona watu kutoka Kaunti moja ya Kisii wakisema wameletewa sukari bali hii sio sukari peke yake. Sukari hii ilingia katika Port ya Mombasa na imeuzwa Busia na kila mahali. Inawezwa kuwa iko Kilifi pia. Kwa nini wanabiashara kama wale wanaharibu maisha ya Wakenya wote bila kujali kwa sababu wanapata pesa kupitia uuzaji wa sukari ambayo wameleta kwa njia ya nyuma? Mahakama inafaa iwachukuliwe hatua wale wote wanashtakiwa kwa makosa kama hayo. Tunataka Waziri Matiang’I afanye bidii ili watu ...
view
19 Jun 2018 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii. Ni jambo la kusikitisha sana katika Jamhuri yetu ya Kenya, hususan wakati huu ambapo watu wamefanya ‘handshake’ na kuna uwiano mwema ya kwamba kuwe na amani na uchumi wetu upande juu ili watu wapate manufaa ya maisha bora. Bw. Naibu Spika, kitu cha kwanza ni kumshika Mkenya mwenye kosa na kumweka ndani ya korokoro aidha akiwa ni askari au raia. Wakenya wote ama watu wa nchi yoyote tunajua kwamba lazima sheria ifuate mkondo wake. Kwanza nataka kuwapaa kongole maafisa wa jeshi waliokuwa wakitetea nchi yetu na tumeona kuwa wengi wao wamekufa wakiitetea ...
view
19 Jun 2018 in Senate:
Ndio; kutii agizo la mahakama. Bw. Naibu Spika, nakushukuru kwa kunikosoa. Ijapokuwa ulizaliwa kule Milimani, lakini naona Kiswahili kidogo---
view
19 Jun 2018 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika. Kama nilivyokuwa nikisema hapo awali, ni lazima Serikali yetu ijukumike ili kuhakikisha kwamba malipo haya yamefanyika. Lakini bado uchunguzi utafanywa na kamati yetu, ikiwa itawezekana, na waje na recommendations, lakini mimi nayaangalia mambo haya kama jaji katika mahakama ya wafanyi kazi. Ni jambo la kisikitisha katika Kenya hivi leo, tukiona ya kwamba Serikali yenyewe ndiyo inachukua mkondo wa kwanza kukataa kutii amri ya korti. Asante, Bw. Naibu Spika.
view
19 Jun 2018 in Senate:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. The Attorney- General Emeritus knowing very well there are quite a number of lawyers including the Leader of Minority, myself and the rest---.
view
19 Jun 2018 in Senate:
Of course, and the Chair who is basically a law professor. Mr. Deputy Speaker, Sir, is he in order to start soliciting for jobs for his friends? Unfortunately, the Senator who is the Majority Leader happens to be a very close friend of AG Emeritus .
view
12 Jun 2018 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Hivi karibuni tumeona ---
view
12 Jun 2018 in Senate:
La, kipaaza sauti kiko sawa.
view