Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1711 to 1720 of 2263.

  • 14 Feb 2019 in Senate: Madam Temporary Chairperson, I second. view
  • 14 Feb 2019 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 7 Nov 2018 in Senate: Mr. Temporary Speaker, Sir, before we move on to next Order, we were to go back to the Statements. Sen. Sakaja had requested the Speaker who agreed to come back after we were through with Committee of the Whole. That was the position. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 7 Nov 2018 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. It is common knowledge and sad to note that counties do not recognize the trade unions. This is contrary to Article 41 of the Constitution which is very clear that everybody has the right to associate him or herself with any trade union of his or her choice. We have witnessed that in almost all the 47 counties, trade union leaders get punished for performing their duties in their capacities as leaders in the course of The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report ... view
  • 7 Nov 2018 in Senate: defending an employee. Quite a number of these leaders are suspended, interdicted or dismissed from work. This is also against the International Labour Organization conventions (ILO). We seriously note that the success or failure of any county in this country lies in the workers on the ground. We have many workers in all the counties working in various departments, for example, drivers, farmers, security officers and hospital attendants. It has now become a tradition that many of the counties do not cloth their employees. For example, mortuary attendants attend to naked bodies without any protective clothing to perform their duties. ... view
  • 7 Nov 2018 in Senate: tedious. These days, people are digital. Therefore, it is important for trade unions to be accorded an opportunity to only sign one collective bargaining agreement that will cover all the employees in the 47 counties. view
  • 16 Oct 2018 in Senate: Ahsante, Bi. Spika wa muda, kwa kutamka jina yangu sawa sawa. Ahsante pia kwa kunipa nafasi ili niweze kuchangia Mswada huu ambao unataka kufanya mageuzi kwa sharia dhidi ya ugaidi na kuifanya iwe mwaafaka. Ningependa pia kumuunga mkono na kumpa hongera Bi. Seneta mteule, Sen. (Rev.) Waqo. Inasemekana ya kwamba Wako nyingi ni yale ambayo yako na konsonanti ‘k’ lakini nilipokuja Seneti mara ya pili, nilipata kujua ya kwamba kuna Waqo ambayo iko na konsonanti ‘q’. Amefanya juhudi na ninampa hongera kwa kuleta Mswada huu ili tuipige pasi hii sharia na kuifanyia mageuzi ili iweze kufaa jamii ya wakenya. Sio ... view
  • 16 Oct 2018 in Senate: shetani atafanya kazi yake anayoijua katika akili ya yule kijana ama yule dada. Kwa hivyo, kipengele kama hiki ni muhimu na ninaiunga mkono ili tuweze kufanya mageuzi ndiposa ipatikane katika sheria zetu za kupambana na mambo ya ugaidi. Jambo lingine ningependa kuzungumzia ni vijana kupigwa risasi na kuuawa katika mkoa wa Pwani; Mombasa, Kilifi na Kwale. Sio wengine wanaofanya jambo kama hili ila ni polisi. Jambo hili linafanywa na watu ambao wanasilaha. Mara nyingi ukienda kuuliza baada ya siku mbili au tatu kuhusu mtu ambaye amepigwa risasi, utaambiwa ya kwamba ‘hatujui ni nani alimuua’. Visa kama hivi vinafanya watu wawe ... view
  • 16 Oct 2018 in Senate: Magenge kama haya yanafaa kuangaziwa ili tumalize ugaidi. Wakati Serikali inatafuta bunduki zilizopotea, wanafaa kupeana amnesty kwa walio na bunduki bandia wazirejeshe ili wasamehewe. Watu wengi wanajiunga na vikundi vya ugaidi. Wengi wako hapa Kenya na wengine wako Somalia. Ndio maana wanajeshi wa Kenya Defence Forces (KDF) wako kule Somalia kwa sababu sote hapa tunataka amani ambayo haiwezi kuwepo bila sisi kuwa na majeshi yetu Somalia. Hata hivyo, hiyo sio suluhu pekee. Tunafaa kuzingatia kuwa kuna watoto wetu kule na ikiwa wataondoka--- Kwa mfano, kuna mmoja aliyekuwa akilia kuwa hana miguu na mikono kutokana na pengine kulipuliwa kwa bomu au ... view
  • 16 Oct 2018 in Senate: Tuko hapa sote kama Wakenya. Ikiwa nchi hii itaharibika, Wakenya wa tabaka zote wataharibikiwa. Hatuwezi kusema kuwa ugaidi unafanywa na Waislamu ama Wakristo. Vile vile, hatuwezi kusema kuwa unafanywa na watu ambao hawana dini. Ugaidi unahusu kila mtu; awe Mkristo au Mwislamu. Tumeona vijana wetu wa dini za Kikristo na Kiislamu na vile vile wasiokuwa na dini wakijiunga na ugaidi. Tumeshuhudia vijana wetu wa tabaka mbalimbali za Kenya wakijiunga na makundi ya kigaidi niliyotaja hapo awali. Kwa hivyo, Serikali inafaa kuhakikisha kuwa Kifungu hiki cha 12 kinawekwa mwafaka. Baada yao kupewa The electronic version of the Senate Hansard Report is ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus