Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1761 to 1770 of 2266.

  • 21 Mar 2018 in Senate: Nashukuru, Bw. Spika wa Muda. Unaweza kuona kwamba kijana kama Sen. Cheruiyot anaweza kuleta maoni kama hayo. Namshukuru kwa sababu ameweza kutueleza sote hapa ndani ya Seneti. La mwisho, Bw. Spika wa Muda, ni kumuomba Mwenyekiti wa Kamati hii achukue ripoti yake. Nyumba hii ya Seneti iko na uwezo wa kuchukua hatua hiyo hivi sasa na kugeuza repoti hii ili tuidhinishe yule ambaye amekuwa wa kwanza katika mahojiano hayo. Tunaweza kumtuma Mwenyekiti aende huko, akae na aregeshe ripoti hii hapa akisema ya kwamba Sen. Melly ndiye amechukua nafasi ya kwanza. Asante sana, Bw. Spika wa Muda. view
  • 20 Mar 2018 in Senate: On point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 20 Mar 2018 in Senate: Mr. Speaker, Sir, is it in order for one Senator to stand up when another one is on the Floor, and the Senators who were standing were not consulting? It is in that regard that I am asking whether it is in order for two Senators to address you at the same time. view
  • 15 Mar 2018 in Senate: Asante sana, Bwana Spika. Ningependa pia kuchangia Petition hii. Bw. Spika, swala la Standard Gauge Railway (SGR) ni nzuri katika nchi yetu ya Kenya, lakini limeweza kubadilisha maisha ya watu katika nyanja tofauti. Imebidi watu wahame mashamba na ploti zao ili SGR iweze kupata nafasi ya kupita. Tunaona malipo ya ridhaa yaongezwe kwa sababu yamekuwa duni na yanatofautiana kila mahali. Kwa mfano, upande wa Changamwe, watu wanalipwa kiasi tofauti na upande wa Mariakani au Mikindani. Serikali inafaa kuunda mikakati mwafaka ili wananchi wanaoishi katika sehemu ambazo SGR inapitia wajue jinsi watakavyolipwa pesa zao. Haifai wengine kulipwa laki mbili, wengine laki ... view
  • 15 Mar 2018 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 15 Mar 2018 in Senate: Bw. Spika. Ninasimama kwa hoja ya nidhamu. Ninataka ndugu yangu Sen. Murkomen aelewe Kiswahili kisawa sawa. Je, ni sawa yeye kuanza kujibu akijua kwamba sitapata nafasi ya kujibu? Pili, mbona tumetengeneza bandari nyingine itakayoitwa dry port na ambayo mizigo itakuwa inashuka ilhali tunajua katika ulimwengu, bandari zote ziko kwenye bahari. Ikiwa mizigo itatolewa kule na ifanyiwe view
  • 15 Mar 2018 in Senate: Nisikize, Bw. Spika. view
  • 15 Mar 2018 in Senate: Bw. Spika. Hoja ya nidhamu ndio hiyo niliyoisema. view
  • 15 Mar 2018 in Senate: Bw. Spika. Ni sawa Sen. Murkomen kusema Bandari ya Mombasa itapitisha mizigo lakini clearance ifanywe Naivasha? view
  • 14 Mar 2018 in Senate: Asante sana, Bwana Spika. Ningependa pia kuchangia Petition hii. Bw. Spika, swala la Standard Gauge Railway (SGR) ni nzuri katika nchi yetu ya Kenya, lakini limeweza kubadilisha maisha ya watu katika nyanja tofauti. Imebidi watu wahame mashamba na ploti zao ili SGR iweze kupata nafasi ya kupita. Tunaona malipo ya ridhaa yaongezwe kwa sababu yamekuwa duni na yanatofautiana kila mahali. Kwa mfano, upande wa Changamwe, watu wanalipwa kiasi tofauti na upande wa Mariakani au Mikindani. Serikali inafaa kuunda mikakati mwafaka ili wananchi wanaoishi katika sehemu ambazo SGR inapitia wajue jinsi watakavyolipwa pesa zao. Haifai wengine kulipwa laki mbili, wengine laki ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus