Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 371 to 380 of 2266.

  • 27 Jul 2023 in Senate: Amesema twende tuombe msamaha. view
  • 27 Jul 2023 in Senate: Bw. Spika, natumia Kipengele cha 1 katika Kanuni za Kudumu za Seneti. view
  • 27 Jul 2023 in Senate: Najua. Naomba unipe nafasi niweze ku--- view
  • 29 Jun 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Kwanza, nataka kumpa kongole aliyeleta hii Petition ndani ya Bunge hili la Seneti, kuomba ya kwamba, Bunge la Seneti litaweza kuingilia kati kuona kuwa wale wakulima wanaolima mahindi katika maeneo ya Bomet na Nandi wanaoongozwa na ndugu yangu Sen. Cherarkey wamepata afueni na misaada inayohitajika ili kuona kwamba mazao ya mahindi kule yamefaidika. Bw. Spika, Ardhilhali hii sio ya watu wa Kaunti ya Bomet pekee yake bali Kenya nzima, hata Kaunti ya Kilifi. Sote tunategemea kilimo cha mahindi ili tupate faida wakati wa mavuno. Mavuno haya yatatukinga kutokana na njaa, kuwapa wananchi afya na vile vile pesa ... view
  • 29 Jun 2023 in Senate: Itakuwa vizuri iwapo tutazingatia mkulima huyu kutoka Kaunti ya Bomet. Ni lazima kuwe na mikakati mbalimbali. Magonjwa mengine huharibu mimea shambani na mfano ni huu ugonjwa ulio katika Kaunti ya Bomet. Taarifa ni kwamba unaweza sambaa kila mahali nchini. Itakuwa vyema kuichukulia hatua mwafaka Ardhilhali hii kwa sababu pia watu wa Kaunti ya Kilifi wanatatizwa na huu ugonjwa wa mahindi. view
  • 29 Jun 2023 in Senate: Ugonjwa huu unafanya mavuno ya mahindi kupungua. Tunataka nchi hii iwe na chakula cha kutosha ili wananchi wafaidike na wapige njaa teke. Kwa upande mwingine, ikiwa huo ugonjwa utaharibu mahindi, basi watu watapata taabu na kutakuwa na njaa. Tunapaswa kukabiliana na huu ugonjwa ili wakulima wa mahindi wafaidike. view
  • 29 Jun 2023 in Senate: Asante. view
  • 29 Jun 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Nafikiri ni kwa sababu ya likizo. Kumekuwa na msemo kwamba wengi wetu huwa hatukuji Bungeni. Ni jambo la kusikitisha sana. Kwanza, watu huja Bungeni kukiwa na Mswada ama mtu ameambiwa aje kwa sababu ya kitu fulani. Mienendo kama hiyo haitatusaidia. Wewe ulichaguliwa na wananchi uje kwenye Seneti, utunge sheria ambazo zitasaidia na kutetea kaunti uliochaguliwa. Lakini, ni jambo la kusikitisha kuona hususan watu ambao walichaguliwa ndio hawaji kwenye Bunge. Sen. Thang’wa amesema kwamba ingekuwa vizuri tuwe na kamukunji ili tuulizane maswali kwa kina na kwa uwazi, ili tujue kwa sababu gani watu hawataki kuja Bungeni? Kiongozi wa ... view
  • 29 Jun 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 29 Jun 2023 in Senate: ili tuwape nguvu Viranja. Itatulazimu kuzungumzia hili jambo katika view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus