Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 381 to 390 of 2266.

  • 29 Jun 2023 in Senate: hata kama Viranja wanafanya kazi yao. Mimi naona pia heshima imepungua. Lazima tutafakari hili jambo vizuri. view
  • 27 Jun 2023 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda. Kwanza, ninampa kongole Mama yangu, Sen. Kavindu Muthama, kwa kuleta Hoja hii. Zaidi ya miaka 20 imepita tangu ajali hii itendeke. Imefika wakati sasa Amerika wawajibike na kuwafidia waliopata majeraha au kuathirika kwa njia yoyote katika huo mkasa. Kuna wale ambao mpaka sasa, wamebaki vilema. Kunao wasiosikia, wasioona na hata waliokatika mikono. Wengine walikufa katika ajali hii na makosa hayakuwa yao. Makosa hayakuwa ya Mkenya wala Serikali yetu. Hayo makosa yalikuwa ya ugaidi ambao ulikuwa unafanyiwa nchi ya Amerika na kwa bahati mbaya, yalitendeka katika nchi yetu. Ofisi ya ubalozi ilikuwa katikati mwa Jiji la ... view
  • 27 Jun 2023 in Senate: ama Taliban, halafu unajipata katika panda mbili ambapo umetolewa macho. Niliona picha ambazo siwezi kuleta hapa. Hata hivyo, hii ni taarifa moja ambayo iliathiri Wakenya. Tuliona Wakenya walioathirika kwa mkasa huo wa bomu. Kilikuwa kitendo cha ugaidi na watu wa Kenya waliumia. Bi. Spika wa Muda, kupoteza hata Mkenya mmoja ni jambo la kusikitisha. Kenya inatakiwa kutetea na kuona kwamba hakuna Mkenya anapoteza maisha yake. Jukumu hili halikuwa la Serikali ya Kenya bali Serikali ya Amerika. view
  • 27 Jun 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 27 Jun 2023 in Senate: Iwapo Amerika wangefanya uchunguzi maalum, hawa magaidi wangeshikwa mapema kabla kuingia na kulipua hiyo bomu katikati mwa jiji letu la Nairobi na kuharibu majumba, kuua watu na kuwaacha wengine wakiwa vilema. Bi Spika wa Muda, tunaelewa ya kwamba kama mtu amekufa, ameumia ama amepata ulemavu wa maisha, inatakiwa apewe msaada. Wengine hulipwa malipo ya ridhaa kulingana na maumivu waliyopata. Wengine hupata majeraha ya milele, ilhali wengine wataenda hospitalini na kupona. Ukiangalia upande huo mwingine kati ya Wakenya 213, sio nambari yote; ni nambari ndogo, kwa sababu majina yalichukuliwa. Walioumia katika bomu hilo ni wengi zaidi. Wale Waamerika 12 walioumia, wote ... view
  • 26 Jun 2023 in Senate: Bw. Spika, ni jambo la kusikitisha kuona ya kwamba ndugu yangu Sen. Cheruiyot hawezi kumwambia Seneta mwenzake hata pole ijapokuwa kuna Hoja hapa. Kama unavyoelewa, tulipokuwa katika mkutano wa leo wa Senate Business Committee (SBC), tulisema ya kwamba aruhusiwe aje vile amevaa kwa sababu ndio nafasi ya mguu wake ama pale alipofanyiwa operation iweze kuwa sawa sawa. Wewe mwenyewe ukapitisha ya kwamba--- view
  • 26 Jun 2023 in Senate: Kama hukuwa kwenye mkutano, shauri yako. view
  • 26 Jun 2023 in Senate: Bw. Spika, kwa sababu umepitisha ya kwamba Sen. Oketch Gicheru anaweza kuingia ndani ya Bunge akiwa amevaa nguo ambazo zitaweza kumsaidia kutembea na kuwa sawa pale atakuwa ameketi; ndio sababu unaomuona ameketi leo pekee yake. Sen. Oketch Gicheru huwa haketi pale, yeye huketi hapa kati kati. Vile alivyosema ndugu yangu, namjulisha kwamba hilo ni jambo tulisema katika mkutano na tumekubaliana. Asante. view
  • 26 Jun 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Hoja ya--- view
  • 26 Jun 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Kwanza, nawapa kongole wale ndugu zetu walioketi katika hii Kamati. Wamefanya kazi muhimu hadi mwisho. Umuhimu wa Kamati ya Bunge la Seneti ni kwamba unaweza kuongoza na kuchukua msimamo. Kawaida yetu Wabunge wa Seneti, huwa tunakubaliana na ripoti za Kamati zetu. Jambo nzuri ni kwamba, Ripoti inayo ongozwa na Sen. Kisang’, akifuatwa na Sen. Montet Betty kama naibu wake, ni Ripoti ambayo wameiandika kwa hali ya juu sana. Nawapa kongole pamoja na wenzao wote akina Sen. Omogeni, Sen. Onyonka, Sen. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus