21 Jun 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
21 Jun 2023 in Senate:
Magogo. Ukiwaona hivi sasa utasikitika. Wengine wao walifariki wakiwa maskini. Tegemeo la wale wengine ni kutufikia tunapoenda nyumbani. Yafaa kuwe na mipango kabambe ili kukitokea jambo lolote wanaweza kuangaliwa kwenye Maisha yao na
view
21 Jun 2023 in Senate:
ili waishi kama watu wengine katika hali yao ya uzee. Tunachukua kigezo kutoka kwa dada yetu Faith. Sisi tuko tayari ikiwa mipango tutaifanya sawa sawa tukishirikiana na ndugu yangu, Kiongozi wa Waliowengi, Sen. Cheruiyot, kuhakikisha huyu dada amefika hapa na tumpee heshima ndani ya Bunge letu la Seneti.
view
21 Jun 2023 in Senate:
Asante Bw. Spika. Kitu cha kwanza, nataka kukubaliana na ripoti iliyoletwa na Sen. (Prof.) Kamar kutoka Bunge la Afrika. Hili ni Bunge la muhimu sana. Nilikua mmoja wao ule muhula wa miaka mitano iliyokwisha ma nilijihusisha vilivyo. Ripoti hiyo ni ya usawa kabisa na ninaiunga mkono. Pili ni kwamba Bunge hio inaleta mataifa yote na wawakilishi wa waliochaguliwa kutoka nchi zao ili kuweza kutengeneza taratibu za jinsi Afrika inaweza fanya taratibu zake. Bunge hilo mara nyingi, tumekua tukijihusisha hususan na mambo ya kibiashara, kazi, utalii na mipaka ili kuona ya kwamba Afrika imeendelea mbele. Ni Bunge muhimu sana. Ripoti iliyokuja ...
view
20 Jun 2023 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Namshukuru ndugu yangu kwa kuleta Taarifa hiyo muhimu sana.
view
20 Jun 2023 in Senate:
Tunajua ya kwamba ni makosa sana kusumbua wale watu wakiwa katika hali zao za starehe. Watu wakiwa katika hali zao za starehe katika bar zile kubwa kubwa hawasumbuliwi kama wale wadogo wanaoketi katika zile bar ndogondogo kama zile ziliko Kakamega; wale wanakunywa busaa, muratina na pombe zingine. Sheria inafaa izingatiwe kwa hao watu pia. Bw. Spika, pombe yote inasafarishwa kwa boda boda. Mimi natoka eneo la Kaunti ya Kilifi. Wazee hukaa chini sababu ile pombe ya mnazi imebarikiwa sana. Ikiwa ni harusi, mazishi na mazungumzo ya aina yoyote ni lazima iweko. Katika zile hali, wazee hukaa na hata kubariki kijana ...
view
20 Jun 2023 in Senate:
Mr. Temporary Chairperson, I have logged out.
view
7 Jun 2023 in Senate:
On a point of order, Madam Temporary Speaker.
view
7 Jun 2023 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I rise under Standing Order No.41(1) if you allow me, will read: - “If at any time in the course of the proceedings of the Senate, a Senator objects that there is not a quorum present, the Speaker or the Chairperson shall count the Senators present in the Senate or the Committee as the case may be.” I do not want to go to the second paragraph because it involves you. I would leave it at that and request that you could be kind enough to take note of that and make a ruling on it.
view
6 Jun 2023 in Senate:
Asante Bw. Spika. Kwanza, ninamshukuru ndugu yetu, Sen. Cherarkey, Seneta wa Kaunti ya Nandi. Kama kuna askari ama first-hand solders wa devolution ni MCAs wetu. Bila hao, hakuna devolution kwa sababu hao ndio wanahusika na watu directly. Sisi tukienda kule, inakuwa ni baada ya kuunda policy hapa. Lakini, kama kuna watu ambao wanatakiwa kuangaliwa vilivyo na serikali za ugatuzi, ni MCAs . Bw. Spika, ni jambo la kusikitisha na aibu kuona kwamba jopo la Ms. Mengich ambalo linahusika na mishahara linazembea. Hatujui ni kwa sababu gani. Lakini, ni jambo la kusikitisha leo kuona wale wanaopanga mambo ya mishahara kuweza kumpatia ...
view