Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 431 to 440 of 2266.

  • 30 May 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 30 May 2023 in Senate: Vilevile, katika nchi yetu hii ya Kenya, Kaunti ya Turkana, ni mahali ambapo kampuni ya Tullow Oil Company imeweza kuona ya kwamba kunayo mafuta ya maana sana katika ulimwengu. Wengine tutakuwa hatuko huko. Ninaona katika hii Seneti, watakaobaki ni akina--- ndugu yangu mdogo. Pengine wakati huo watakuwa wamefika miaka ya kuhesabu. Kenya itabadilika wakati sisi tutaanza kuchimba hayo mafuta, kuyauza na kupata pesa. Bw. Spika, pia ni jambo nzuri kuona ya kwamba sisi tutaongeza uhusiano zaidi. Nina hakika kuna watu wengine ambao wameishi Kaunti ya Turkana mpaka hivi sasa hawajawahi kukutana na Maseneta wengine kutoka kaunti zingine. Itakuwa nafasi nzuri ... view
  • 25 May 2023 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika. Ningependa kuchangia swala hili la madawa katika hospitali zetu. Shirika la KEMSA kwa sasa limepoteza sifa katika Global Fund inayotusaidia kununua na kusambaza madawa. Sijui ni njia gani itatumika kuhimiza Serikali kuchukua hatua ili kurejesha imani na shirika hili. Hivi sasa, shirika hili limepoteza wadhfa wake. Pili, ikiwa hatua zimechukuliwa na watu walio fanya ufisadi wa aina yeyote pale ndani wamejulikana wazi na kufutwa kazi, hilo si jambo la mwisho. Pesa zilipotea na Serikali inafaa kuzifuata. Ninataka kujua nia ya Serikali hii kuhusu jambo hili baada yao kufutwa kazi. Kitendo cha uhalifu hakiwezi kumalizika. Lazima sheria ... view
  • 25 May 2023 in Senate: Ninaomba dakika moja. view
  • 25 May 2023 in Senate: Ingekuwa bora zaidi kama Serikali ingeweza kujitoa kimasomaso ili kuona watoto wanaosoma katika shule ya viziwi ya Kabarnet wamepata pesa za kuendelea na masomo yao. Nasisitiza kuwa wanafaa kupelekewa hundi la pesa ili ifunguliwe na iweze kusaidia wanainchi. view
  • 23 May 2023 in Senate: I thank you, Mr. Speaker, Sir. Now that you have given a chance to the bullfighter, who is the Majority Whip, to represent the Majority Side, allow me to also give a chance to my Minority Whip, Sen. Ledama Olekina, to come forth. I donate my time to him. view
  • 3 May 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Sen. Kibwana alinieleza nimshikie brief. I view
  • 3 May 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 3 May 2023 in Senate: Sen. Kibwana aliniomba nimwakilishe kwa sababu hatakuwa katika Kikao hiki. Nataka kutoa taarifa kuwa Sen. Kibwana hataweza kuendelea na kauli yake. Bw. Spika pia nataka kuomba ruhusa kwa heshima na taadhima katika upeo wa kuketi wa Bunge la Seneti, kunao waheshimiwa wa Bunge la Kaunti ya Kilifi pamoja na baadhi ya wafanyikazi wa Kaunti ile. Kwa sababu nilikuwa nimechelewa naomba unipe dakika moja nijiunge nawe pamoja na maseneta wenzangu kuwakaribisha. Nawashukuru kwa kuja katika Bunge la Seneti ili wajifunze mengi wasiofahamu. view
  • 3 May 2023 in Senate: Vile vile ni kwamba--- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus