Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 611 to 620 of 2266.

  • 19 Jan 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 19 Jan 2023 in Senate: uchaguzi ambao ulipiganiwa na watu lakini aliweza kushinda. Amekuja hapa na hilo ni jambo la kujivunia. Bw. Spika, ingekuwa vyema kama Maseneta wangepewa nafasi kumpatia kongole mmoja wao ambaye ameingia ndani ya hili Bunge la Seneti; upande ule wa walio wengi na upande huu wa walio wachache. view
  • 19 Jan 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Kwanza ninataka kumpa kongole ya juu sana ndugu yetu Sen. Kisang Wiliam Kipkemoi. Amefanya juhudi ya kuwabwaga wale wengine ili kupata nafasi ya kuja hapa akiwa Seneta wa Elgeyo Marakwet. Hilo ni jukumu la watu wa Elgeyo Marakwet ambao wamekupatia na ni lazima uwafanyie kazi. Ninaona umeambatana na delegation kubwa sana. Hiyo ni kumaanisha ya kwamba wako na imani na wewe. Kitu ambacho ninaweza kukueleza ni kwamba ukiwa hapa kama Seneta ni lazima utaona ya kwamba vile tunavyojadiliana hapa, hili ni Bunge view
  • 19 Jan 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 19 Jan 2023 in Senate: ambalo liko na watu wenye akili na elimu ya juu. Wanaelewa wanayoyafanya; ni watu ambao wamekomaa. Ndungu yangu, Sen. Kisang, umekuja hapa kama Seneta na tunakuunga mkono. Tunakuombea kila la kheri ya kuwa uwafanyie watu wa Elgeyo Marakwet kazi kama Seneta wao. Ninakutakia kila la kheri katika utendakazi wako. view
  • 19 Jan 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. Kwanza naunga mkono mageuzi yanayotakiwa na Kamati ya Haki, Masuala ya Kisheria na Haki za Kibinadamu kuhusu Jopo la Uteuzi wa Makasmishna wa IEBC. Bw. Spika, vyama vya kisiasa vimepewa nafasi ya kuchagua mtu wake. Hili na jambo ambalo kama hatungelipata, pengine kungekuwa na upinzani mkubwa sama. view
  • 19 Jan 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 19 Jan 2023 in Senate: Lakini, hivi sasa, katika kipengele cha pili cha mageuzi haya, vyama vya kisiasa vimepata nafasi hiyo. view
  • 19 Jan 2023 in Senate: (PSC) imeingia hapa na hiyo ndio tashwishi. Shirika hilo lisingefaa kuwa hapa. Ningependa kukubaliana na Kiongozi wa Waliowengi kwamba hiyo nambari ya PSC ingepewa Wabunge au vyama. Kwa hivyo, sioni kama kuna shida sana. Lakini sioni sababu ya PSC kuwekwa katika hiyo hesabu. Pili, tunaelewa ya kwamba katika hali ya uchaguzi nchini yetu, Kenya, kunakuwa na shida kubwa sana. Watu huwa na ukabila na utengano kwa sababu ya kura. Lakini ikiwa watu wa dini wanaweza kupewa nafasi hizo ili wawe na nafasi ya kuchagua mume na mke mmoja, itakuwa jukumu lao kuwaleta kwenye jopo ambalo litachagua makameshina. Mwisho, ni lazima ... view
  • 19 Jan 2023 in Senate: On a point of order! view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus