Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 631 to 640 of 2266.

  • 19 Jan 2023 in Senate: Hatuwezi kuwa na misimamo miwili tofaut; moja kwa Sen. Wambua ambaye hakuwa amevaa kisawasawa kulingana na taratibu za Seneti na kufanya tofauti ikija kwa wakili ambaye anaelewa taratibu kuhusu mavazi ndani ya Seneti. view
  • 19 Jan 2023 in Senate: But it is the same issue. view
  • 19 Jan 2023 in Senate: Bw. Mwenyekiti wa Muda, ameomba radhi. Radhi kwetu ni kusamehe. Wewe ndio ulimwambia na sio hao wawili view
  • 19 Jan 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 19 Jan 2023 in Senate: wako naye. Kama amesema ameomba radhi, hiyo itakuwa imetosha. Ingekuwa vyema tuendelee. view
  • 30 Dec 2022 in Senate: Asante, Bw. Spika. Kwanza, ninatoa kongole kwa ndugu yetu, mhe. David Wakoli Wafula, kwa kupata ushindi mkubwa na kuwa Seneta wa Kaunti ya Bungoma. Tuliona kile kindumbwendumbwe kilichokuwa huko. Ninawaunga mkono kwake kupata ushindi na ni jambo nzuri kuwa naye hapa. Nina uhakika atafanya kazi ya useneta kwa ustadi mkubwa. Aliyekuwa Seneta wa Kaunti ya Bungoma sasa ndiye Spika wa Bunge la Kitaifa. Seneta Wetangula alikuwa kiongozi wa Walio Wachache na alijithibitisha vilivyo kama mwakilishi wa kaunti hiyo. Vile vile, alikuwa kama taa katika hili Bunge la Seneti. Ni jambo nzuri kuwa Sen. David Wafula amekuja kujiunga nasi. Uhakika anavaa ... view

  • 30 Dec 2022 in Senate: Asante, Bw. Spika. view
  • 30 Dec 2022 in Senate: Asante, Bw. Spika. view
  • 30 Dec 2022 in Senate: Bw. Spika, sijui kama ulisikia Seneta alivyosema hapa. Alisema kwamba kuna guys hapa. Nashindwa hawa guys ni akina nani. Hapa kuna distinguished Senators . Matumizi ya lugha ni muhimu sana hapa kwa sababu hatutaki kupata ujumbe usiofaa. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus