Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 641 to 650 of 2266.

  • 30 Dec 2022 in Senate: Bw. Spika, sijui kama ulisikia Seneta alivyosema hapa. Alisema kwamba kuna guys hapa. Nashindwa hawa guys ni akina nani. Hapa kuna distinguished Senators . Matumizi ya lugha ni muhimu sana hapa kwa sababu hatutaki kupata ujumbe usiofaa. view
  • 30 Dec 2022 in Senate: Asante Bw. Spika. Kwanza, nataka kumpa kongole ndungu yangu, Sen. (Dr.) Khalwale, kwa kuongoza Kamati ilyochunguza mambo haya. Sote tunawapata hongera kwa kazi mlioifanya kama Kamati. Pili, nataka kumweleza dada yetu Gov. Kawira kwamba amepewa mamlaka na wananchi wa Kaunti ya Meru. Ni lazima uangalie mamlaka unayoyatumia na utendakazi wako kwa watu wa Meru ili wafurahie kwa sababu wamekuchagua kama kiongozi. Mambo ya kujipiga kifua na kusema kuwa wewe ndiye kila kitu pale tuiweke kando. Tenda kazi kwa watu wa Meru. Shirikiane pia. Huwezi kuwa kiongozi kama gavana kama hushirikiani na MCAs wako. Kushirikiana ndiko kutaleta maendelo na hayo ndio ... view

  • 30 Dec 2022 in Senate: Fanya na uwatendee kazi watu wa Meru County. view
  • 30 Dec 2022 in Senate: Fanya na uwatendee kazi watu wa Meru County. view
  • 20 Dec 2022 in Senate: Asante Bw. Spika. Naunga mkono ndugu yangu, Kiongozi wa Walio Wengi, alivyosema kwamba kuna njia panda; tukilinganisha njia ya Kamati ya Bunge nzima ama sivyo, tuchague Kamati. Tulikuwa tushaongea hapo awali, mimi na yeye na tukakubaliana kwamba njia ya Kamati maalum ndio itakuwa njia mwafaka sana. Njia ya Kamati teule itawapa nafasi wale Maseneta watakaochaguliwa nafasi ya kuipa Seneti njia au mwelekeo kulingana na zile karatasi zote ama stakabadhi zitakazokuwa zimeletwa katika kusikiliza kesi hii. Sio rahisi mtu kuletwa Seneti na haki yake ionekane kupotoshwa. Wale Maseneta tutakuwa tumechagua kuhudumu katika Kamati maalum wafanye kazi mwafaka, ambayo wataangalia zile stakabadhi ... view
  • 20 Dec 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 20 Dec 2022 in Senate: Nina imani na Kamati Maalum itakayo chaguliwa. Tuko na imani ya kwamba watatupatia mwelekeo wa kisawasawa. Vile vile, tumekuwa hapa ndani ya Seneti na ni wakati za kuthibitisha ya kwamba Seneti, vile tunavyosema ndio ‘nyumba kubwa’ ya Bunge hili letu la Kenya. Kwa hivyo, tuchukue nafasi hii kuona ya kwamba haki imetendeka kwa mshtaki na mshtakiwa. Mshtakiwa pia apewe nafasi nzuri ya kuangalia stakabadhi atakazojitetea, ili tuone haki iko upande gani. Kwa maoni yangu, ninahimiza Maseneta wenzangu tuende njia ya Kamati kwa sababu hiyo ndiyo njia ambayo itatupatia uamuzi kamili. view
  • 8 Dec 2022 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I also join you in welcoming the guests who have come to visit us to see how we conduct our Business in the Senate. They are also probably here to enjoy their holidays in Kenya and to learn a bit. When they go back home, they will tell the rest of how we conduct our business here. I believe their visit here will be beneficial to them. They will see how we conduct ourselves and how we ensure that whatever we do is in accordance with the parliamentary procedures. Mr. Speaker, Sir, I further extend ... view
  • 1 Dec 2022 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika. Kwanza, nataka kukushukuru kwa mwito wako wa kuwaalika ndugu zetu, waheshimiwa wa Kaunti ya Baringo. Vilevile, nikijiunga na wewe, ningependa kuwakaribisha hapa ndani ya Bunge la Seneti ili wajionee utaratibu wa kazi unavyoendelea. Katika Bunge hili letu la Seneti, hakuna kuegemea upande ule ambao unajua inafanya makosa hata kama ni upande wako. Mtu ako na haki ya kusema kwamba upande wangu hauko sawa. Ikiwa upande ule mwingine pia unafanya makosa, huwa pia tunawaambia. Hili Bunge ni lile ambalo wazungu wanaita bipartisan . Ninawakaribisha sana. Najua wamekuwa hapa na wamejifundisha mengi. Cha muhimu kuwakumbusha ni kwamba, walipopiga ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus