10 Nov 2022 in Senate:
Ni shule ya ajabu. Mwenye hiyo shule angesaidika na kutambuliwa. Naomba Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu aendelee kuwasaidia hao watoto walemavu. La mwisho, ningependa wanaojiweza kokote humu nchini, waige mfano wa Hasu wa Mombasa Cement. Ikiwa una uwezo na pesa, hakuna haja ya sisi kukutambua kama tajiri ilhali hakuna hata mtoto mmoja mlemavu unayemsomesha au kumpa usaidizi wa aina yeyote.
view
10 Nov 2022 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
10 Nov 2022 in Senate:
Asante Bw. Spika. Kiswahili ni lugha ambayo tunaelewa sote lakini kusema ya kwamba vijana hawawezi kushika nyumba ni Kiswahili ambacho mimi mwenyewe pia kimenishinda kuelewa.
view
10 Nov 2022 in Senate:
Sijui alikuwa anamaanisha nini maanake ni Kiswahili. Tutashika nyumba kwa hivi ama tutafanya namna gani?
view
10 Nov 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
10 Nov 2022 in Senate:
Afafanue vizuri ili tuweze kuelewa kushika nyumba ni vipi? Wale vijana kutoka Pwani wote tunajua pia wanakula Muguka alivyosema Sen. Munyi Mundigi wa Kaunti ya Embu. Ningemuuliza aweze kufafanua zaidi.
view
10 Nov 2022 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker Sir.
view
10 Nov 2022 in Senate:
This is a Statement by the Senate Majority Leader. I do not need to go that direction. Mr. Speaker, Sir---
view
10 Nov 2022 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I apologise profusely.
view
10 Nov 2022 in Senate:
Madam Temporary Speaker, pursuant to Standing Order No. 57(1), I hereby present the business of the Senate for the week commencing Tuesday, 15th November, 2022. Before I proceed with the Statement, allow me to take this opportunity to welcome Hon. Senators back from the short recess. I trust that they benefited from the induction programmes that were held during the recess period for the Senate Business Committee and for all Senators on processing of legislative business. On Tuesday, 15th November, 2022, the Senate Business Committee will consider and approve the business for the day, which is projected to contain business ...
view