10 Nov 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
10 Nov 2022 in Senate:
Much concern has been expressed on the Floor of this House on processing of Bills by Standing Committees. Further, concern has been expressed on the need to expeditiously consider and conclude on the County Governments Additional Allocations Bill. I, therefore, urge all Standing Committees to observe the requirements of Standing Order No. 148 and to table reports within the set timelines. More specifically, I urge the Standing Committee on Finance and Budget to consider the County Governments Additional Allocations (No. 2) Bill (Senate Bills No. 4 of 2022) as a matter of urgency and to table a report on the ...
view
9 Nov 2022 in Senate:
Asante, Bw . Spika, kwa kunipa nafasi hii pia nami nitoe kongole yangu kwa ndugu yetu, Eng . Koome. Natoa kongole kwa Eng. Koome ambaye ni Inspekta Jenerali wa Polisi mteuliwa. Katika rekodi zake ni kwamba yeye ni kati ya wale watu waliweza kwenda chuo kikuu na kupita na shahada ya uhandisi. Hatimaye, aliweza kukubaliwa kuingia jeshi kwa sababu ilikuwa ndio mfumo wa kwanza. Hii inamaanisha kwamba nia yake yote katika usomaji hata akifanya Engineering, alikuwa anaweza kuwacha mambo ya engineering ama akajiendeleza kidogo akiwa huko. Kuna mambo mengi pia yanafanyika ndani ya polisi kama mambo ya ujenzi kidogo lakini ...
view
9 Nov 2022 in Senate:
umeona ya kwamba mtu akiwa mkuu wa polisi ni lazima angalie wale walio chini yake. Hii ni kwa sababu, litendekalo kule chini mwisho wake ni lazima litaishia
view
9 Nov 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
9 Nov 2022 in Senate:
kwenye meza yake. Tumeonelea kwamba watoto wetu, hususan watoto wengi sana wa Kiislamu wamepoteza maisha yao katika sehemu za Pwani na kwingineko katika nchi ya Kenya. Watoto wetu waliweza kuwekwa katika vitengo vya wale wahalifu ambao wanafanya matendo machafu na wakashikwa bila kuwa na ushahidi wowote. Hii ndio sababu wakishikwa, ikiwa polisi hawana ushahidi wowote, walikuwa wanawekwa katika hayo maboksi ambayo walikuwa wakisema yako ndani ya vituo vya polisi, halafu mtu anapoteza maisha yake pale. Mara nyingi tukiwa hapa, tumekuwa tukiuliza maswali ya wale watoto wetu wanaopotea katika mikono ya polisi. Wakati mwingine tunaona magari yanapita, video inachukuliwa na mtu ...
view
9 Nov 2022 in Senate:
Unamsikia pia Seneta wa Mombasa anaweza kukubaliana kwa sababu yeye ni shabiki mmoja wapo.
view
9 Nov 2022 in Senate:
Watu kushikwa kiholela usiku katika maeneo yao ya burudani ni jambo ambalo tunaliona sana. Mtu kitoa kitambulisho vilevile anaambiwa lazima atoe “kitu kidogo”. Hiyo mambo ya kitu kidogo tunataka ikome sasa. Yeye mwenye anaitwa Eng. Koome na hiyo sisi tanataka ikome. Tuna imani ya kwamba pahali alipo nina hakika anaweza kuangalia na akajua kwamba Seneti inamwambia akomeshe hiyo taabia mbaya ya hao watu wake walio huko chini. Wale polisi wadogo wadogo wakome kuchukua hongo ama kusumbua watu katika maeneo yao ya burudani. Jambo la kusisikitisha sana ni kuwa kuna ulevi mwingi sana ambao unafanywa katika vitengo vya chini vya askari ...
view
9 Nov 2022 in Senate:
Kesi kama hizi zimeripotiwa na si kidogo. Ni nyingi. Yote haya ni kwa sababu ile nidhamu inakuwa ni kidogo. Nina imani ya kwamba Bw. Koome akiingia, hawa polisi wetu watapunguza mambo haya ya ulevi wa kiholela. Ulevi wa kiholela pia uletwa na kwamba wao wenyewe kwa wenyewe wanaweza kupigana risasi. Tumeona hizo habari za kwamba polisi anapiga mwingine risasi, mkewe
view
9 Nov 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view