Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 741 to 750 of 2266.

  • 8 Nov 2022 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. This morning when we were in the SBC meeting, there is a Motion that was supposed to come this afternoon. That Motion is about appointment of Members of the Parliamentary Service Commission, which was deliberated upon and we agreed that it would form part of the business on the Order Paper for today. I have with me here the Supplementary Order Paper but that particular Motion does not seem to be there. I would like to know the reason for dropping that particular Motion which is very dear to this House. view
  • 8 Nov 2022 in Senate: Bw. Spika, kwanza, ningependa kuwapongeza wale waliochaguliwa kutuakilisha katika Bunge la Afrika ambalo makao yake yako kule Johannesburg, Afrika Kusini. Wa kwanza kwenye list hii ni Sen. (Prof.) Kamar ambaye alifanya kazi nzuri alipokuwa mhadhiri katika chuo kikuu Cha Moi. Ni mtu aliye na taaluma na tajiriba ya kufundisha na tuna imani ya kuwa atatuakilisha katika Bunge la Afrika. Wa pili ni Sen. Mungatana, MGH. Ninavyoelewa ni wakili mkubwa katika taifa letu la Kenya. Amekuwa katika Mbunge nafikiri kwa zaidi ya miaka 10. Huu ni muhula wake wa tatu. Sijui kama nimekosea lakini nina imani na rekodi zangu. Natumai atatia ... view
  • 27 Oct 2022 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on National Security, Defense and Foreign Relations, on the severe drought and famine situation in Kilifi County. In the Statement, the Committee should- (1) State the measures, if any, that the National Drought Management Authority (NDMA) has put in place in response to the drought situation in Kilifi County. This is view
  • 27 Oct 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 27 Oct 2022 in Senate: especially in Magarini, Ganze and Kaloleni sub-counties which are the worst hit and in dire need of food aid. (2) Provide details of the relief food distribution programme by the National Government across the country, including Kilifi County. This should detail the areas covered; the number and particulars of the beneficiaries, including their sub-counties; the type of food aid in distribution; and ascertain equity of food distribution across drought- stricken counties across the whole country. (3) Ascertain whether illegal logging in Kilifi County is partly responsible for the drought situation in the county, stating measures, if any, put in place ... view
  • 27 Oct 2022 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika. Jambo la kwanza ni kwamba naonelea hili Bunge la Seneti liweze kujiweka kama Kamati ya Seneti Nzima ili huyu mama wa Tume ya Mishahara na Marupurupu aje hapa ili aweze kujibu maswali kutoka kwa kila Seneta ambaye anahusika. Isiwe Kamati ya Delegated Legislation peke yake. Wachanganyike na Seneti Nzima ili sisi tupate nafasi ya kumuuliza maswali. Jambo la pili ni kuhimiza zaidi ya kwamba askari walio mashinani ni Wabunge wa Mabunge ya Kaunti. Ikiwa benefits na allowances zao zote zimepigwa marufuku ama akazisimamisha na ameziondoa kabisa, watahudumi wananchi kivipi. Mfano ni Sen. (Dr.) Khalwale kule nyumbani ... view
  • 27 Oct 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 27 Oct 2022 in Senate: Jambo lingine la kusikitisha ni upande wa wafanyikazi wetu hapa ndani ya Bunge. Leo mishahara yao imerudishwa chini sana mpaka wanapewa sijui shilingi elfu nne za Kenya. Hiyo elfu nne itakupeleka wapi? Huwezi kuketi mahali popote ukiwa umeondoka hapa umeenda kikazi kama Kisumu, Kakamega, Mombasa au Kilifi na upewe elfu nne. Utakula, kutembea na kulala namna gani? Haiwezekani. Ninaona kwamba huyu mama aje hapa, ajibu maswali katika kikao cha Seneti Nzima. view
  • 27 Oct 2022 in Senate: Mwenyekiti, yule mama wa SRC, anayeitwa Mengich. view
  • 27 Oct 2022 in Senate: Asante, Bw. Naibu wa Spika, kwa kunipatia mwongozo. Jamba lingine ambalo Bi. Mengich alikosea, hakuongea na mtu yeyote hapa Bungeni kabla ya kutoa uamuzi huu. Lazima kuwe na mashauriano kati ya wale wanaotoa uamuzi fulani na wenye kuathiriwa na uamuzi huo. Sisi tuko hapa. Angetuita kwa public participation tumweleze yetu na yeye atueleze yake, ndio achukue hatua. Sasa amechukua hatua baada ya kujadiliana na nani? Amekiuka Katiba kwa kutojadiliana hili jambo na wahusika. Bw. Naibu Wa Spika, jambo la mwisho ni kwamba hata Wabunge wameathirika sana na huo uamuzi wa Bi. Mengich. Wabunge husafiri katika mataifa mbalimbali. Sasa hivi ukienda ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus