12 Oct 2022 in Senate:
wazee kwa sababu naona vijana chipukizi wameingia hapa kama Masenata kutoka kaunti mbali mbali katika nchi yetu ya Kenya. Bw. Naibu wa Spika, cha muhimu nikuona ya kwamba ile ratiba ambayo imewekwa katika Kalenda yetu imetimia na imekabiliwa kisawa sawa na watu wameweza kufanya kazi zao wanaoziweza. Katika hili Bunge, kuna cheche nyingi ambazo hutokea. Lakini tunavyojua ni kwamba katika Bunge hili, Maseneta hujadiliana kwa njia ya heshima na pia vile vile sio kama kutupiana maji ama kuambiana maneno machafu machafu. Sisi ni watu tumestaarabika hapa na nina matumaini ijapokua tuko na vijana, wataweza kuona ya kwamba kwa upande wa ...
view
12 Oct 2022 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Nilikuwa mmoja wa wale watu ambao wakati mmoja nafikiria ndugu yangu Sen. Cherarkey, ndiye alisimama na kusema kwamba sijavaa vizuri. Nilikuwa nimevaa kama ndugu yangu, Sen. Onyonka. Spika aliyekuwa wakati huo alisema ya kwamba nilikuwa nimevaa vyema. Kitu ambacho siwezi kusema ni kuwa, kulingana na ule uamuzi wako uliotoa hivi sasa, ni kwamba, mtu akivaa koti kama lile na ukasema ni sawa, naona siwezi kupinga uamuzi wako lakini ni hatari. Hii ni kwa sababu wakati mwingine watu wanaenda namna hivyo kwenye vilabu vya disko.
view
12 Oct 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
12 Oct 2022 in Senate:
Mjadala huu ni ngao na ni mwelekeo na unaoelekeza vile Seneti itaweza kufanya kazi zake. Kwa hivyo, naunga mkono kusema ya kwamba uko sawa kabisa. Asante.
view
12 Oct 2022 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I wish to point out that I have been in this House with Sen. M. Kajwang’. I have never seen him grabbing or holding anything that does not belong to him. It is a bit unfair for my brother to say that Sen. M. Kajwang’ is fond of grabbing things that do not belong to him.
view
12 Oct 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
12 Oct 2022 in Senate:
That statement should be withdrawn. It should go on record for the people of Siaya County to know that they have a very able Senator in the House. It is important to clarify that.
view
6 Oct 2022 in Senate:
Asante, Bw. Spika. Nafikiria ni jukumu ndani ya Bunge hili la Seneti, kwamba upande huu wa walio wachache, watakuwa wakiiangalia Serikali inavyotekeleza wajibu wake. Ikiwa Serikali itatekeleza wajibu wake sawasawa, tutawapa kongole. Serikali isipotekeleza wajibu wake sawasawa, ni jukumu la upande huu kuikashifu na kuwaelekeza njia nzuri. Kazi ya upande huu isije ikawa inaingiliwa zaidi kutokana na sababu ya hoja za nidhamu zinazotoka upande wa Serikali. Ama pengine hawataki upande wa Upinzani uweze kuendelea na Hoja hii. Kwa nini upande huu hauna hoja nyingi za nidhamu kama upande wa walio wengi? Kwa nini ni mtu mmoja anazua hoja nyingi za ...
view
6 Oct 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view