Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 811 to 820 of 2266.

  • 6 Oct 2022 in Senate: Bunge. Hili ni jambo la kushangaza na silo la kawaida. Kwamba Mhe. Rais anaweza kuingia ndani ya Bunge bila kuwaarifu Wabunge na akatoka vivyo hivyo. view
  • 6 Oct 2022 in Senate: Tafadhali usiningilie kama bado ninaongea. view
  • 6 Oct 2022 in Senate: Bw. Spika, vilevile tunaona katika hotuba ya Mhe. Raisi--- view
  • 6 Oct 2022 in Senate: Bw. Spika, asante kwa kunikosoa. Hata hivyo, Mhe. Rais sio mtu wa kawaida bali ni Mhe. Raisi wa Jamuhuri ya Kenya. Bw. Spika, tunajua ya kwamba mahakama ni mahali ambapo kila mtu anaweza kwenda. Pia Bunge la Kitaifa ni mahali ambapo mtu yeyote anaweza kuja. Kulingana na uamuzi ulioufanya sasa hivi, pia katika wakati Bunge letu linafunguliwa kirasmi, ni taratibu za Bunge kuwaalika watu. Moja wapo ya waalikwa ilikuwa Mahakama Kuu ya Kenya. Iliongozwa hapa na Jaji Mkuu, Makamu wa Jaji Mkuu na Majaji wengine. Jambo la kushangaza ni kwamba sisi sote tunazingatia kwamba mikono ya Serikali ni mitatu. Katika ... view
  • 6 Oct 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 6 Oct 2022 in Senate: Mhe. Rais katika Hotuba yake hakuangalia njia mwafaka ya Serikali kutatua janga la ukame na njaa. Hakueleza ni jambo gani ambalo Serikali yake itafanyia wafugaji ambao mifugo yao yanamalizwa na janga la njaa. Ninatoka katika maeneo ninayoyafahamu sana. Maeneo kama ya Ganze na Magarini yameathiriwa vibaya sana na janga la njaa na ukame. Kuna sehemu zingine nchini ambazo ni afadhali lakini zingine ukame umezidi sana. Bw. Spika, Mhe. Rais hakusema atasaidia hao Wakenya kwa njia gani ilihali hao ni Wakenya na walipiga kura. Wengine walimpigia kura na wengine hawakumpigia lakini wote walipiga ni Wakenya. Ni jukumu la Serikali kusaidia Wakenya ... view
  • 6 Oct 2022 in Senate: Ni mikakati ipi ama mipangilio gani ambayo Serikali itaiweka ambayo inaweza kusaidia wale watu wanaoishi katika zile sehemu za ukame na wanaoathiriwa na janga la njaa. Tungependa kujua pia mikakati iliopo katika sehemu ambazo watu wanaweka mifugo ilikuhakikisha ya kwamba ile mifugo itaweza kusalimika katika ile hali ngumu wanaoipitia. view
  • 6 Oct 2022 in Senate: Mhe. Rais alisema kuwa watu wanaofanya kazi za kawaida kama wale wanaofanya kazi ndogo ndogo pia wanaweza kuwa na hazina inayowekwa kwa ajili yao. Hii ikimaanisha kuwa watu wawekeze kwenye National Social Security Fund (NSSF) ambayo ni shirika la wafanyikazi. NSSF ni shirika huru ambayo haliambatani. Wafanyikazi wenyewe wanasimamia shirika hilo. Mhe. Rais alisema ya kwamba ana mikakati ya kuanzisha mpangilio mwingine ambao unaweza kuangalia swala la pesa za wafanyikazi. Hii itakuwa kuingilia hali ya wafanyikazi na pahali ambapo wanaweka pesa zao. Itakuwa vyema kama hao wafanyikazi wataachiliwa wafanye kazi vile wanataka, waweke pesa zao wanapotaka hata kama itakuwa ni ... view
  • 6 Oct 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 6 Oct 2022 in Senate: Kuna mambo mengi ambayo Mhe. Rais alisema atayaangalia katika hotuba yake. Alisema ya kwamba ataweka mikakati ya kuboresha uchumi wetu. Tunataka taifa kuwa na uchumi dhabiti ndio watu waishi bila njaa. Tunataka taifa ambalo linahakikisha kwamba watu wanaoishi kwenye maeneo ya ukame wanapata maji kisawasawa ili kila mtu aweze kufaidi kama Serikali yake iko tayari. Asante, Bw. Spika. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus