7 Apr 2022 in Senate:
Thank you, Madam Temporary Speaker. I rise to make a Statement pursuant to Standing Order No.52(1) on the business of the Senate for the week commencing Tuesday, 26th April, 2022. As Hon. Senators are aware, the Senate is scheduled to proceed on a two-week recess period at the rise of the Senate, until Monday, 25th April, 2022. Regular sittings will, therefore, resume on Tuesday, 26th April, 2022, in line with the Senate Calendar. On Tuesday, 26th April, 2022, the Senate Business Committee (SBC) will meet to schedule the business of the Senate. The business for Tuesday, 26th April, 2022, is ...
view
7 Apr 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
7 Apr 2022 in Senate:
I urge the Movers of these Bills to make a written request to the Speaker for the Bills to be reinstated in the programme of the Senate business, if they wish to proceed with them. I also urge all Senators to avail themselves this afternoon for the divisions and consideration of the Bills at the Committee of the Whole. I equally urge the Movers of the Bills, committee chairpersons and individual Senators who have filed amendments to be in the Chamber for the House to smoothly transition to the next stage. Madam Temporary Speaker, other business before the Senate includes ...
view
5 Apr 2022 in Senate:
Asante Bi. Spika wa Muda. Pia mimi nataka kumpa kongole Sen. (Dr.) Kang’ata, Senator mchapa kazi kutoka Kaunti ya Murang’a kwa kuleta Hoja hii hapa. Sen. (Dr.) Kang’ata saa ingine hucheka tu hata jambo sio la kuchekesha. Sijui ni binadamu wa aina gani lakini nafikiria kwa sababu hiyo, watu wa Kaunti ya Murang’a wakampenda sana. Bi. Spika wa Muda, swali hili la kwa nini Kenya haina petroli si swala la kulaumu mtu mmoja. Sen. (Dr.) Kang’ata katika uwezo wake amekuwa akiongea hapa ndani ya Seneti hususan akimlaumu Rais zaidi na serikali yake. Mimi nashangaa sana siku hizi amekuwa kama kinyonga. ...
view
5 Apr 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
5 Apr 2022 in Senate:
kule kwao nyumbani anakotoka, ukiwa umezidi mtu na umri, hata kama mmekosana, unaweza kusema mambo utakayosema lakini lazima uweke mpaka kama heshima wa jamhuri ya Kenya. Ndio sababu kule wako na jina wanaita mutongoria. Kama yeye hawezi kuheshimu mutongoria kutoka kwao, je watu wengine katika Kenya watafanyaje? Bi. Spika wa Muda, ni ukweli kabisa kwamba Kenya sasa petroli haipatikani. Hii imesababishwa na ufisadi. Ufisadi lazima uangaliwe vizuri kwa sababu kama ni ugonjwa umeingia, kama ni COVID-19, kila mtu hapa anajikinga. Hivi ni vita dhidi ya ufisadi. Ndani ya serikali, kuna watu ambao wametufikisha katika hii level ambayo sisi hatuwezi kukubali ...
view
5 Apr 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
5 Apr 2022 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, asante. Jana nilikuwa katika safari yangu ya kutoka mashinani nikija huku. Ni ukweli kabisa alichosema ndugu yangu Sen. Wetangula. Katika kila kituo ambapowanauza petroli, wananchi wenye Boda boda wamejaa. Kwanza, wamejaa na majonzi kwamba hakuna petrol. Pili, wamejaa kwa sababu wale Boda boda wanakula kila siku kulingana na ile pikipiki. Wenye pikipiki wanasema ya kwamba hawataki kuchukua kitu kidogo kuliko kile wanachukua kila siku. Ukiwa umekodisha pikipiki kufanyia kazi, ni umpatie ule mtu ile pesa ambayo inatakikana kwa ile pikipiki kwa siku moja. Saa hizi, utapata Boda boda wenyewe hata kupeleka watu haiwezekani. Umaskini umekithiri ndani ...
view
31 Mar 2022 in Senate:
Bw. Spika, najiunga na wewe mchana wa leo kwa kuwakaribisha wale wangwana ambao ni wafanyikazi katika Kaunti ya Machakos. Kwanza, nawakaribisha na kuwaambia kwamba hapa ndipo kuna kina cha maelezo au ujuzi wote mnahitaji kuijua. Kuja kwenu hapa, mtatoka mkiwa mmeelimika kisawasawa. Ninatumaini ya kwamba yale yote ambayo mmejifundisha yataenda kwa muda mrefu sana kusaidia watu wa Kaunti ya Machakos. Cha mwisho ni kwamba nawapa kongole watu wa Machakos kwa kuonyesha mfano wa kwamba mwanamke pia anaweza kuchaguliwa akawa kiongozi. Nasema mwanamke kwa sababu ni jinsia ya maumbile ya binadamu. Mama Kavindu kama tunavyoelewa hapa ndani ya Seneti ni mama ...
view
31 Mar 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view