24 Mar 2022 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, nina hoja ya nidhamu. Sijui kama umesikia na masikio yako ya kwamba, Sen. Olekina anasema ya kwamba hizi Kanuni za Bunge ziandikwe kwa lugha ya Kimaasai. Tuko na lugha 45. Sasa yeye akisema anataka Kanuni za Kudumu za Seneti ziandikwe katika lugha ya kimaasai, sembuse lugha zingine? Wajua huyu mmaasai sijui ana---
view
24 Mar 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
24 Mar 2022 in Senate:
Tunaelewa ya kwamba huyu Seneta wa Narok, anapenda wamaasai sana na wamaasai wanampenda. Mara kwa mara, yeye hunionyesha picha za wamaasai wakiwa wamejaa ndani nyumba yake. Lakini hiyo sio lazima Kanuni zetu za Kudumu za Bunge, ziandikwe kwa lugha ya Kimaasai. Nataka kumkosoa ya kwamba hatutakuwa na wakati huo wa kuandika lugha zote 45 za makabila yote ya Kenya. Asante, Bw. Spika wa Muda.
view
24 Mar 2022 in Senate:
Asante Bw. Spika wa Muda. Ningependa kuweka huu Waraka katika Meza ya Siwa ya Seneti, leo Alhamisi, 24 Machi, 2022.
view
24 Mar 2022 in Senate:
Shukran, Bw. Spika wa Muda. Nimeyachukua maoni yako kwa ukarimu. Ndugu yangu, Chairman wangu, Bw. Ndwiga, ameingia. Shukrani sana. Mr. Temporary Speaker, allow me to lay the following Paper on the Table of the Senate, today, 24th March, 2022: Report of the Standing Committee on Labour and Social Welfare on The Employment (Amendment) Bill (Senate Bills No.54 of 2021).
view
23 Mar 2022 in Senate:
I was not prepared properly. I am just coming back.
view
22 Mar 2022 in Senate:
Bi Speaker wa Muda, Seneta wa Nandi, Sen. Cherargei, ni mtu ambaye yuko karibu sana na mimi, lakini naona anavyosema kwamba bidhaa zile za
view
22 Mar 2022 in Senate:
zimeenda juu wakati wa “ handshake” . Nataka kumweleza ya kwamba “ handshake” ilikuja baadaye. Hata mtu akitaka kupata mtoto, mama akishika mimba, inachukua miezi tisa ndipo azae. Kwa hivyo, sisi tukiingia wakati wa “ hand shake”, ile mimba ya ule ubaya ilikuwa iko tayari.
view
22 Mar 2022 in Senate:
Asiseme saa hizi. Sisi tumekuja tukaipata juu tu. Asiseme kwamba, fertilizer imeenda juu baada ya watu kufanya “ hand shake” . Fertilizer bei yake ilikuwa juu wakati uleule wakiwa wao wakiharibu serikali wakati ule wa miaka minne ya kwanza.
view