24 Nov 2015 in National Assembly:
Bi. Naibu wa Spika, Wabunge wanatakiwa kuwa katika Ikulu kesho saa kumi jioni. Siku ya Alhamisi, kila Mbunge na kila mwananchi amealikwa ahudhurie ibada ya misa ambayo itaandaliwa na kusomwa na Baba Mtakatifu. Wabunge wamepatiwa mwaliko na vibali vya kuingia. Ninawaomba Wabunge wanisikize kwa makini. Kitu cha kwanza, magari hayatakubaliwa katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Nairobi. Kwa hivyo, waalikwa watapitia barabara ya Uhuru Highway mpaka karibu na mzunguko wa Museum Hill, na kuacha magari hapo na kuelekea kwa miguu kwenye uwanja. Kwenye lango la kuingia, kutakuwa na wafanyikazi wa Bunge ambao watawaonyesha mahali pa kukaa. Tumeomba tufanye mawili. Kwanza, ...
view
24 Nov 2015 in National Assembly:
Misa itaanza saa nne asubuhi siku ya Alhamisi. Mnaombwa, tafadhali, mhakikishe mko hapo mapema maana milango itafungwa ikifika saa tatu kwa sababu za kiusalama. Hatutaki watu kuzungukazunguka wakati ibaada takatifu inaendelea. Ni vyema kila Mbunge achukue nafasi hii ya kipekee kupata baraka za Baba Mtakatifu. Msiichukue kimzaha. Mmeona watu wameanza kuridhiana. Nchi imeanza kupata angalau heri ya kuwa wanaweza kusameheana. Waheshimiwa, chukueni nafasi hii mje nyote. Haijalishi uko dini ipi. Njoni, mmekaribishwa. Ninatumai nimejieleza vya kutosha. Labda kuwe na suala la kufafanua, niko tayari kuwahudumia Wabunge wenzangu. Mungu awabariki. Asante, Mhe. Naibu Spika.
view
17 Nov 2015 in National Assembly:
Nakushukuru Mhe. Spika kwa nafasi hii ambayo umenipatia nami niunge mkono ombi ambalo limetolewa na Mhe. Weru. Naomba nichukue nafasi hii kukosoa Kamati ya Kilimo. Tangu tuanze, mmeleta ripoti ngapi hapa Bungeni? Nauliza, Waheshimiwa, hebu tuangalia haya mambo. Mhe. Spika Kamati za Mbunge zimepewa nafasi zijadiliane na ziangalie mambo ambayo yanaletwa kutoka kwa wananchi ili ipate kuyaangaziya na kutoa ripoti Bungeni. Lakini Mhe. Spika nina wasiwasi kwa sababu kuna uzembe ambao hauwezi kukubalika katika Kamati ya Kilimo. Huu uzembe naomba Mhe. Spika, ukomeshwe na hii Kamati. Kama hayo unayosema, tuko na Ripoti katika Kamati ambayo inahusika na mswala ya ratiba ...
view
17 Nov 2015 in National Assembly:
( Loud consultations )
view
11 Nov 2015 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. We have had very many inquiries from Hon. Members of Parliament---
view
11 Nov 2015 in National Assembly:
We have had very many inquiries from Hon. Members of Parliament about the Papal visit which is supposed to take place from 25th to 27th November, 2015. Members who would wish to attend mass are informed that it will be held on 26th November at the University of Nairobi Grounds at 10.00 a.m. and Members can also go to Gigiri for the meeting which will be graced by the Pope. It is important that each and every Member who wishes to participate is accredited to attend that function. Hon. Members, we have been given slots and we are not limiting ...
view
11 Nov 2015 in National Assembly:
I said non-Catholics. Non-Catholics include Muslims, Hindus, pagans and every Kenyan, but you have to be accredited. Hon. Members, we have a number of slots. We wish to be orderly and ensure that Hon. Members of Parliament are given adequate space. It is important that we get their names early enough. Let me have their names so that I can give them to our Secretary so that they can be accredited. The earlier the better! It is important so that you do not come at the eleventh hour and start complaining that you have been omitted and yet, you wanted ...
view
11 Nov 2015 in National Assembly:
That is with a light touch my dear brother. With those remarks, I beg to inform hon. Members. Thank you very much.
view
11 Nov 2015 in National Assembly:
I stand guided, Hon. Speaker. Thank you.
view
27 Oct 2015 in National Assembly:
Ahsante, Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda. Ninaomba Waheshimiwa tuelewane. Tumesoma Katiba na tumeielewa. Tumeona vile vipengele vinavyompatia Rais nguvu. Hata hivyo, lazima tutumie akili zetu. Kuna akili za kuzaliwa na zingine tunazipata shuleni. Hapa tunatakiwa tutumie akili za kuzaliwa.
view