1 Jul 2015 in National Assembly:
Which county?
view
1 Jul 2015 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika ninakushukuru kwa kunipatia nafasi hii. Nikianza, ningependa kumwambia Mhe. Cecil Mbarire ajue tofauti kati ya chuo kikuu na college . Ninamwomba ajue jambo hili. Yangu ni kumwambia tu kuwa watu ambao walienda college hawakuenda chuo kikuu. Kwa hivyo Mhe. Mbarire---

Mhe. Naibu Spika, si nia yangu kutusi ama kushusha hadhi ya kiti cha Naibu Spika lakini ninaomba kama wewe pia ulienda huko ukubali maoni yangu kuwa sikubaliani na Mhe. Mbarire kuwa kilikuwa chuo kikuu. Wakati huo kilikua college. Kwa hivyo, wote walioenda huko wakati huo walienda college.

Mhe. Naibu Spika ninaomba nitoe mwongozo wangu. Wewe hukusoma huko lakini ulikuwa unafundisha. Hivi sasa tunakubali huyu mama, Anne Gitau apatiwe kazi hii. Ninaomba tuulizane maswala kadha wa kadha. Ningependa tuangalie Katiba inasema nini. Katiba inaongea kuhusu usawa wa nchi. Kwa nini kila wakati majina yakiletwa hapa yanaletwa ya maeneo mawili tu? Majina yanatoka Bonde la Ufa ama eneo la Kati. Nikisema hivi si eti ninamchukia mtu. Mimi simchukii mtu. Bi. Gitau amehitimu na ana kila kitu lakini ningependa kusema kwamba wako Wakenya wengine. Mimi sina shida na huyu shangazi. Ninamheshimu, amehitimu, ana sifa, ana elimu na ameenda college, Egerton. ...

Mimi sitamuunga mkono leo, kesho au kesho kutwa, na si kwa sababu hahitimu. Ningependa kusema hivi---

Mhe. Naibu Spika, ninakubali kuwa huyu shangazi anatoka Embu. Lakini tukubaliane kwamba Embu iko katika Mkoa wa Kati.
view