Thomas Mwadeghu

Full name

Thomas Ludindi Mwadeghu

Born

1953

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

wundanyiconstituency@yahoo.com

Email

Wundanyi@parliament.go.ke

Telephone

0724-285347

All parliamentary appearances

Entries 251 to 260 of 604.

  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, ninakubali kuwa huyu shangazi anatoka Embu. Lakini tukubaliane kwamba Embu iko katika Mkoa wa Kati. view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: ( Loud consultations) view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: ( Loud consultations) view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Ngoja nimalize. Watu wa Embu, Mkoa wa Kati na hata Mkoa wa Mashariki ni sawa na hawana tofauti. Wakati wa kura wanasema wako pamoja lakini ikiwa ni kugawanya vitu inakuwa wako tofauti. Ninatumai wakati umefika tuambiane ukweli na ukweli usemwe. view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Ngoja nimalize. Watu wa Embu, Mkoa wa Kati na hata Mkoa wa Mashariki ni sawa na hawana tofauti. Wakati wa kura wanasema wako pamoja lakini ikiwa ni kugawanya vitu inakuwa wako tofauti. Ninatumai wakati umefika tuambiane ukweli na ukweli usemwe. view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Ningependa kusema kwamba ninaiheshimu na nitaendelea kuiheshimu Tume ya Mishahara na Marupurupu. Ningependa kutamatishia hapo. Mhe. Naibu Spika, siungi mkono uteuzi wa mama huyu. view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Ningependa kusema kwamba ninaiheshimu na nitaendelea kuiheshimu Tume ya Mishahara na Marupurupu. Ningependa kutamatishia hapo. Mhe. Naibu Spika, siungi mkono uteuzi wa mama huyu. view
  • 30 Jun 2015 in National Assembly: Asante Mhe. Spika kwa nafasi hii. Mengi yamezungumzwa kuhusu suala hili la ardhi ambayo iko Mwatate. Kama ijulikanavyo, ardhi hii ni mojawapo ya dhuluma ambazo zimetendewa watu wa Taita. Kamati imependekeza yafuatayo: Mipaka ya shamba hili ambayo iliwekwa mwaka wa 1992 iregelewe. Soroveya aende apime shamba hilo. Ni sawa na hamna tatizo kama mwenyewe ana ardhi ya ekari 30,000 lakini ardhi yoyote itakayopatikana juu ya ekari 30,000 irudi kwa wananchi wa Mwasima Mbuwa pale Mwatate. Watu wa Mwasima Mbuwa wamelilia ardhi hii na wamejitoa mhanga kuona kuwa haki yao inarudishwa. Kero ni kuwa hata masoroveya wa pale Wundanyi hawawezi kuingia ... view
  • 24 Jun 2015 in National Assembly: Nakushukuru, Mhe. Naibu Spika, kwa nafasi hii ambayo umenipatia. Kitu cha kwanza ni kuwapongeza wenzangu katika Kamati hii ya kuangalia Makadirio ya Fedha kwa kazi ambayo wamefanya ya kuridhisha, ijapokuwa mara ya kwanza tulikuwa tumeshikwa na ghadhabu kwa yale waliofanya. Lakini nashukuru Mungu. Wakiongozwa na ndugu yangu Mheshimiwa Mutava Musyimi, wamefanya marekebisho ambayo yamekubalika na hivi sasa, tuko katika kiwango cha kuangalia ugavi wa fedha za Serikali. Ugavi au ugawaji huu katika wakati huu umechukuwa mwelekeo mpya kwani fedha hizi zimegawanywa kulingana na mipango ya Serikali. Ile miradi ambayo imekubalika ndio itakayofanywa, ndipo hapo fedha zimeelekezwa. Ni jukumu la Wabunge ... view
  • 24 Jun 2015 in National Assembly: kukubaliana na mipango kadha wa kadha ya Serikali halafu hapo katikati unapata fedha hizo hizo zinabadilishwa na kutumiwa kwa mipango mingine ambayo hatukuidhinisha hapa Bungeni. Bunge lazima liwe macho na liangalie kuwa shughuli hizi zinafanywa kulingana na yale tumekubaliana hapa. Niliposikiza kwa uangalifu Mwenyekiti akitoa taarifa yake, alisema kuwa kuna fedha ambazo zimeombwa ili ziongezwe katika Makadirio haya kwa kiwango cha Ksh4 bilioni. Lakini tunakubaliana na Mwenyekiti kuwa tukifanya hivyo, tutaongeza gharama kubwa kwa Serikali. Itakuwa na deni kubwa na hatutaweza kulimudu. Itakuwa ni shida kubwa sana kwa Serikali. Ndio maana Mwenyekiti ameomba kuwa hela ambazo zimeombwa zifikiriwe wakati wa view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus