Thomas Mwadeghu

Full name

Thomas Ludindi Mwadeghu

Born

1953

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

wundanyiconstituency@yahoo.com

Email

Wundanyi@parliament.go.ke

Telephone

0724-285347

All parliamentary appearances

Entries 271 to 280 of 604.

  • 16 Jun 2015 in National Assembly: kuchukua hisa za yale makampuni mengine ya mafuta yalikuwa kwanza kuboresha kiwanda hicho ili kiwe kinasafisha mafuta ndio tupate kiwango ambacho kinahitajika cha mafuta na cha kuridhisha. Mhe. Naibu Spika wa Muda, utaelezwa na hii Ripoti ukiisoma kwa undani kuwa waliohusika na ubinafsishaji wa kiwanda hicho, waliweka mikakati ya vile hiyo kampuni itaingia, ianze kazi, ichukue hisa na ihakikishe kuwa kiwanda kimeboreshwa kabisa na shida ya mafuta imeisha. Ilikuwa pia ihakikishe kuwa usafishaji ulikuwa mzuri, Serikali itapata faida na wafanyikazi wa kiwanda cha mafuta nao pia watakuwa wamepata nafasi. Suala likawa US$15 milioni ndizo hela kampuni hiyo ingelipa Serikali. Baadaye, ... view
  • 16 Jun 2015 in National Assembly: shida ile ingeisha kwa sababu wangekiboresha kiwanda hicho ili kiweze kutoa mafuta masafi na nchi itafaidika. Tunashangaa ni masaibu gani ambayo yameikumba nchi hii? Jambo la kushangaza ni kwamba watu wote wanaokuja nchini kushiriki kwenye mpango wa ubinafsishaji wa viwanda na makampuni yetu, nia yao ni kupora mali ya nchi hii. Kwa mfano, ni nani ambaye hajui kwamba Telkom Kenya lilikuwa shirika kubwa ambalo halikuwa linatingisika? Lakini limeuzwa na ukiangalia jinsi lilivyouzwa, utaona kwamba hisa zimeporwa na hivi sasa wafanyikazi wa shirika hilo hawana ajira. Shirika limechukua mkondo huo. Hivi sasa, wameshikana na shirika la Wareno, ambao wanasema wanaliboresha shirika ... view
  • 16 Jun 2015 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, tunakioomba Kitengo cha Ufisadi kiwachunguze watu wote waliohusika na kuwachukulia hatua. Tunawajua watu hao. Hatutalala mpaka wote wanaohusika wachukuliwe hatua ya kupelekwa kortini na wanapopatikana na hatia, warudishe pesa za hicho kiwanda na pia wafungwe jela. view
  • 16 Jun 2015 in National Assembly: Kwa hayo machache, naiunga mkono Ripoti hii. view
  • 10 Jun 2015 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I concur with the views expressed by the Leader of the Majority Party on this particular issue. We were together in the HBC last night and we really pressed for these reports to be handled, so that we may do away with them as soon as possible. They have been piling pressure on the HBC to allocate time for these reports. It is my sincere hope that Chairpersons will heed the views expressed not only by the Leader of the Majority Party but also by the Minority Party Whip; I am concerned. view
  • 10 Jun 2015 in National Assembly: I am a member of the Public Investments Committee (PIC) and we would have moved this report and discussed it. I have been pushing for these reports to come to the Floor of the House and the Leader of the Majority Party concurred with me last night. I have really been pressing hard for these reports. It is my sincere hope that these reports will be dispensed with as soon as possible, so that we may do away with them, otherwise we have wasted time. We would have given the Leader of the Majority Party time to bring a Government ... view
  • 10 Jun 2015 in National Assembly: With these few remarks, I beg to concur with the views expressed by the Leader of the Majority Party. Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. view
  • 23 Apr 2015 in National Assembly: Ahsante Mheshimiwa Spika. Naomba nichukue nafasi hii pia kuunga mkono yote ambayo yamewasilishwa na Kamati ya Uwekezaji, ambayo inazungumzia juu ya kubinafsishwa kwa Shirika la Simu la Kenya; uwekezaji ambao ulifanywa umeleta tashwishi. Vile tunavyojua, Serikali ililazimika itoe billioni mbili nukta tano, fedha ambazo tumepoteza na nchi hii itakuwa imepata hasara kubwa na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 23 Apr 2015 in National Assembly: hatujui ni wakati gani tutakuwa tumepata fedha hizi. Inasikitisha kuwa wakati wowote watu wakitaka kubinafsisha mashirika ya Serikali, kila wakati lazima hasara iingie, na moja yao ndio hii. Ndio maana tunapendekeza kuwa shirika ambalo linahusika na kuangalia kuwa ufisadi haupo linahusishwa kikamilifu ili likapate kuchunguza kashfa hii kwa undani sana. Naunga mkono Kamati. view
  • 1 Apr 2015 in National Assembly: Asante sana, mhe. Naibu Spika wa Muda. Naomba nami nitoe mchango wangu kwa Hotuba ya Rais kuhusu hali halisi ya nchi yetu. Nitazungumzia masuala kadha wa kadha. La kwanza ni uwajibikaji wa wananchi kuhusu usalama. Nakubaliana na Rais kuwa usalama ni jukumu la kila mmoja wetu na lazima tufanye bidii ili tuhakikishe kuwa unaimarishwa. Hata hivyo, naomba pia nitoe maoni yangu kuhusu ugatuzi na jinsi ufisadi unavyoendelea huko mashinani. Tunaulizana ni lipi linaendelea. Rais ametuletea orodha hii hapa Bungeni. Wale Wakristo ambao wako hapa wananisikiza wanajua kwamba wayahudi walipotaka kumsulubisha Yesu walimpeleka kwa Pilato. Pilato aliona mambo ni magumu akanawa ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus