Thomas Mwadeghu

Full name

Thomas Ludindi Mwadeghu

Born

1953

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

wundanyiconstituency@yahoo.com

Email

Wundanyi@parliament.go.ke

Telephone

0724-285347

All parliamentary appearances

Entries 291 to 300 of 604.

  • 12 Feb 2015 in National Assembly: Utakubaliana na mimi kuwa tukifuata mwenendo na mtindo huo, tutakuwa tunamnyima Mkaguzi Mkuu wa Serikali na mashirika yake uhuru wa kuwachagua wafanyikazi ambao anahitaji kulingana na vyeo, majukumu na sifa zao. Kama vitengo vingine vya Serikali vinaajiri watu wake vyenyewe, kwa nini tumnyime Mkaguzi Mkuu wa Serikali uwezo huo? Maoni yangu ni kuwa apatiwe uhuru wa kuwaajiri wafanyikazi wake kulingana na uwajibikaji wa ofisi yake. La pili ni kiapo. Mkaguzi Mkuu anahitajika kula kiapo mbele ya Mkuu wa Sheria. Kwa nini aapishwe mbele ya Mkuu wa Sheria? Kwa nini asiapishwe mbele ya Rais? Haieleweki ni kwa nini aapishwe huko. Kwa ... view
  • 12 Feb 2015 in National Assembly: Mkuu. Majukumu haya yameongezeka. Hivi sasa tuna Serikali za ugatuzi 47, na zote zinahitaji kuangaliwa na Mkaguzii Mkuu. Fedha ambazo amepatiwa ni zile zile alizokuwa akipatiwa wakati hatukuwa na Serikali za ugatuzi. Tuulizane wazi: Je, hiyo ni haki? Hawezi kuifanya hii kazi kama ana fedha zile zile ambazo alikuwa nazo wakati ambapo hatukuwa na Serikali za ugatuzi. Kuna mashirika mengi ambayo yameundwa. Kuna ile hazina ya maeneo ya uwakilisha Bungeni ambayo tunaiita CDF. Mkaguzi Mkuu anahitajika kufanya ukaguzi huko, na fedha ambazo anazo ni zile zile ambazo alipangiwa. Tumeunda mashirika mengi na yote yanahitaji ukaguzi wa vitabu kutoka kwa Mkaguzi ... view
  • 10 Feb 2015 in National Assembly: Asante mhe. Spika. Naunga mkono Hoja ambayo imeletwa Bungeni mchana huu. Nitaanza kwa kuwaomba Wabunge wenzangu tutilie maanani Hoja hii kwa sababu hii kamati ndio inaongoza shughuli zote za Bunge. Muhula uliopita, hasa mwisho The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 10 Feb 2015 in National Assembly: wake, kulikuwa na tatizo. Naomba kwa unyenyekevu Wabunge wenzangu tuangalie kwa ufasaha sana shughuli za Bunge na mikakati yote ambayo itawekwa mbele ya Bunge hili. Ni hii kamati peke yake ambayo ina majukumu ya kuweza kufuatilia na kuongoza shughuli za Bunge. Kama ilivyosemwa na kiongozi wa walio wengi Bungeni, tusipoikubali hii Hoja leo, inamaanisha kuwa Bunge kesho halitakuwa na ratiba yoyote ambayo itaweza kufuatwa, na Bunge halitaweza kufanya shughuli zake. Kwa hivyo, nasihi pande zote za milengo ya kisiasa tuungane, tushikane pamoja tuanze muhula huu mpya kwa moyo wa kuridhiana na kwenda mbele ili tupate kuijenga hii nchi. Majina ambayo ... view
  • 10 Feb 2015 in National Assembly: Thank you, hon. Speaker. It is important for hon. Members to realise that I pointed out that this list has come from both sides of the divide. I do not think hon. Kang’ata is in order to insinuate that it is our list that is bringing problems. That is the position of CORD and I want it to be made clear. If you want us to move ahead, we either move or we do not. We will not stand here to be intimidated that our list is the one that is creating problems. No, that is the position of CORD--- view
  • 10 Feb 2015 in National Assembly: I wanted to inform hon. Kang’ata that--- view
  • 10 Feb 2015 in National Assembly: Hon. Speaker, the point is taken. Is hon. Kang’ata in order to insinuate that it is our side that is creating this division? That is the point I wanted to raise. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 10 Feb 2015 in National Assembly: I stand to be corrected. view
  • 11 Dec 2014 in National Assembly: Ahsante Mheshimiwa Spika. Naomba nichukue nafasi hii kupongeza Bunge la Kitaifa wakati huu ambalo linatarajia kwenda likizo kwa kazi ambayo imefanyika vile imeelezwa hapo na mwenzangu ambaye ametangulia kusema. view
  • 11 Dec 2014 in National Assembly: Mheshimiwa Spika, wakati kama huu, Waheshimiwa Wabunge wanatarajiwa kwenda katika maeneo yao wanayowakilisha ili wakae na wananchi wao wapate kuwaeleza yale ambayo wamekuwa wakifanya kwa muhula huu wote Bungeni. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus