Thomas Mwadeghu

Full name

Thomas Ludindi Mwadeghu

Born

1953

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

wundanyiconstituency@yahoo.com

Email

Wundanyi@parliament.go.ke

Telephone

0724-285347

All parliamentary appearances

Entries 301 to 310 of 604.

  • 11 Dec 2014 in National Assembly: Ni ombi langu kuwa tutaweza kujistili na tufanye kazi ile ambayo tumepatiwa na wananchi. Hivi leo mchana, tumechukua muda mwingi sana tukiangalia vipengele kadha wa kadha kutokana na Mswada huu ambao ni wa sheria za ulinzi. Imebainika wazi kuwa Mswada huu unahitaji marekebisho kadha wa kadha. Nashukuru Mwenyekiti wa Kamati. Amekubali kuwa marekebisho haya yataletwa. Ameyaweka maanani na kuwa yataletwa hapa yajadiliwe na Wabunge. view
  • 11 Dec 2014 in National Assembly: Mheshimiwa Spika, si nia yangu kuchosha kila mtu hapa jioni ya leo. Nashukuru Kamati ya Bunge ambayo inahusika na wale wanakuja mbele yake wakiomba uwaajiri kama Mheshimiwa Nkaissery ambaye amepewa wadhifa ama amependekezwa apewe wadhifa na hivi leo, amepitia kwa Kamati. Ni ombi langu kuwa--- view
  • 4 Dec 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Speaker. In seconding the Motion, I just want to bring to the attention of hon. Members that this is a continuous programme. As and when the need arises for any party to make changes, it will come to the Floor of the House. It is our request as a party that it becomes necessary to make the changes. As the mood is on reconciliatory approach to issues, we believe we will be coming to the House if at all the need arises, to make further changes as required. Hon. Speaker, I second. view
  • 4 Dec 2014 in National Assembly: I have seconded, hon. Speaker. view
  • 2 Dec 2014 in National Assembly: Hon. Speaker, that is correct. We are supposed to lay the Reports on the Table, but our Chairperson is caught up somewhere. May I apologise on his behalf. view
  • 2 Dec 2014 in National Assembly: Mheshimiwa Spika, naomba nitoe mchango wangu kwa Ripoti hii ya Kamati ya Bunge kuhusu Uwekezaji wa Umma ambayo imechambua mambo mengi kuhusu uendeshaji wa mashirika mbali mbali ya nchi hii. Haswa, naomba nielekeze mwelekeo wangu kwa Shirika la Reli la Kenya ambalo lilichangia sana kuona kuwa kazi ya uendeshaji wa reli imepeanwa kampuni iliyokuwa mbichi, geni, mwanamwali na isiyoweza kufanya kazi. Kampuni hii ilikuwa inatoka Afrika Kusini na kazi yake haikuwa imetambulika au kueleweka vizuri. Hata hivyo Mheshimiwa Spika, ikabainika wazi kuwa Shirika la Reli la Kenya lilitakikana lipeane kazi hii kwa kampuni hiyo. Wakati mmoja ilibidi wakuu wa Serikali ... view
  • 2 Dec 2014 in National Assembly: Mhe. Spika, unakumbuka kuwa haya mambo yalitokea Shirika la Reli la Kenya lilipopeanwa kwa kampuni na kusemekana kuwa kampuni hiyo itaendesha Shirika la Reli lakini ikawa haina ujuzi wala mwelekeo. Mpaka hivi sasa tunaposema, hakuna mabehewa yamenunuliwa. Hamna chochote kimetendeka kwa Shirika la Reli. Kwa hivyo Mhe. Spika, hii ni moja tu ya Ripoti zilizoko na zilizotakikana kuangaliwa na Bunge la Kumi ama Bunge la muhula ule uliopita. Kamati husika haikuweza kuziangalia na ndio maana imebidi Kamati hii iende mbele sana na kuhakikisha kuwa Ripoti zote zimemalizika na kuletwa kwako ama kwa Bunge ili Bunge liziangalie na kuzipitisha. Hii ni ... view
  • 2 Dec 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. In seconding this Motion, I want to make it very clear from the outset that this Report was supposed to be done by the Tenth Parliament, just as has been reported by the Chairman. For one reason or another, this work was not done and it has been the responsibility of the Public Investments Committee of the Eleventh Parliament to compile this Report. As you can see, we are dealing with outdated information and old data. The personalities and the people involved are long gone. It became very difficult for the Committee to go ... view
  • 2 Dec 2014 in National Assembly: there for one purpose; to just make money. If you go through all our recommendations, starting from the illegal acquisition of Corporation land, we are recommending that the Ethics and Anti-Corruption Commission takes up the matter, investigates and those found culpable be brought to book. We are looking at areas like Kisii, Naivasha, Kitale and Mtwapa where we have the same story. For how long will this continue in this country? Is it a country where parastatals or State corporations are brought up purely for certain individuals to make money, loot and get away with it? Nothing is done to ... view
  • 26 Nov 2014 in National Assembly: Mheshimiwa Spika, naomba pia mwongozo wako kuhusu hili suala kwa sababu kinara wa walio wengi Bungeni na kiongozi mwenzangu ametoa hoja hapa ya kumaanisha kuwa hawa mabwana waheshimiwa wa Bondo na Kisumu wako katika hatari kubwa ya kufurushwa kwa chama. Suala kama hili naomba nilichangie kwa sababu mimi ni mhusika. Wasiwasi wa hawa ndugu zangu waheshimiwa, naomba niutulize. Chama chetu cha Orange Democratic Movement (ODM), si chama cha kuvamia mambo ya kuweza kufukuza wenzetu wa chama kiholela. Kwanza, tunaanzia mashinani, na katiba ya chama iko. Kama hufuati katiba ya chama na mwongozo wa chama, unafanya nini chamani? Hilo ndilo suali. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus