Zainab Kalekye Chidzuga

Before joining politics, Zainab was the Coast Province treasurer for Maendeleo ya Wanawake Organisation (MYWO) for more than two decades. At one point, she also served as the chairperson, MYWO Kwale District. International women politicians like Margaret Thatcher, Hillary Clinton and Sirleaf Johnson inspired her to join politics. She is a widow and in seeking elective office, had to overcome many negative cultural beliefs regarding women in leadership.

All parliamentary appearances

Entries 81 to 90 of 180.

  • 23 Apr 2015 in National Assembly: Ninaunga mkono maombi haya ambayo yameletwa na Mheshimiwa Birdi. view
  • 23 Apr 2015 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda. Nimesimama kuunga mkono msimamo wa Kamati ya Mazingara na Mali Ghafi. Tutakapokubaliana kuwa magavana hawawezi kukaa katika bodi hii ambayo ni bodi kuu inayosimamia mipangilio ya Serikali, itakuwa ni kama tumemfungulia mlango mtu atakayekuja kubadilisha mipangilio iende sawa na kule kwake anakotawala. Kwa hivyo, kama kweli zile kamati ambazo zinasimamia mambo ya mazingira katika maeneo ya kaunti watahitaji neno lolote, kuna mwandishi ambaye ni mwakilishi wa Serikali Kuu. Kama wana neno, litapitishwa mpaka lifike kwa hii Bodi kuu kupitia kwa huyo mwandishi. Lakini kukaa katika hii Bodi itakuwa ni kama kwamba tumetoa nafasi ... view
  • 22 Apr 2015 in National Assembly: Shukrani Mhe. Spika. Nasimama kuunga mkono Mswada huu. Nampongeza sana Mhe. Millie kwa kuwa ameweza kuona yale ambayo yanawakumba akina mama haswa wale ambao tunawaita akina mama tasa. Kusema ukweli, ninazungumza nikiwa mambo haya yalinikumba kupitia kwa mamangu nikiwa mimi ni mtoto wa pekee kwa mama. Niliona jinsi ambavyo mamangu alikuwa anasikitika kwa kuwa alinizaa peke yangu na hakuweza kupata watoto wengine hadi ikafikia kiwango cha kumlazimisha babangu aoe mke mwingine ili aweze kupata watoto na kuwaita watoto wake naye pia. Lakini basi, ikiwa tunaunga mkono huu Mswada, ni lazima tuangalie sheria kwa makini haswa zile ambazo zitaweza kulinda huyu ... view

  • 22 Apr 2015 in National Assembly: Katika hali ya kupongeza, ningependa pia tuweze kuelewa ya kwamba tutakuwa tumempa mtoto huyu ulimwengu, lakini je, mtoto huyu atakuwa mwenyewe ni nani? Ataweza kupata haki zake kama mtoto kwa nani? Kwa sababu atakuwa haelewi babake na mamake ni yupi kwa sababu anaambiwa wewe ulizaliwa kupitia mbegu zetu na yule ambaye alimbeba kwa miezi tisa atasema mtoto ni wake. Mwishowe, yule mtoto ataishi katika maisha ambayo hajielewi, maisha yake iko mikononi mwa nani? Pia tuweze kuangalia kuwa kuna wale ambao watajitolea kutoa mbegu zao na baadaye aje aone kwamba hana haja tena ya kuweza kuwa na yule mtoto. Je, na ... view

  • 22 Apr 2015 in National Assembly: Shukrani sana, Mhe. Spika. view
  • 22 Apr 2015 in National Assembly: Shukrani sana, Mhe. Spika. view
  • 31 Mar 2015 in National Assembly: On a point of order, hon. Speaker. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 31 Mar 2015 in National Assembly: Mhe. Spika, ningependa mheshimiwa atueleze iwapo mapenzi ni ya mwanamke peke yake. Mbona anaelekeza lawama kwa wanawake peke yake, na hasemi wanaume pia wajiheshimu? It is a two-way affair. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus